ACT Wazalendo wajanja sana wao mapema tu walisema watachangia damu.
Ahahahahahaha!!!
Mtu hawezi kujibu swali ambalo halina jibu. tatizo ulilo nalo ni kubwa kidogo zaidi hata ya Mfalme Magufuli. Unachoamini wewe si kila mtu anaamini hivyo.Sijui kwa nini tu watu huwa hawajibu maswali.
Unamuuliza hiki yeye halafu yeye anakuja na ngonjera nyingine kabisa!
Ndo maana tuna mambo kama hayo ya UKUTA.
Big up grinders,Prof umenikumbusha zali la mentali,Sugu umenikumbusha lile neno mzuka,haswa mzuka wa Ukuta.Mbona nyie mlikuwa mnapiga kelele kwenye Instagram huko na siku moja kabla ya siku ya siku ujumbe umepenyeza.
Ona hawa wenzio....hivi kweli wamekaa hata mkao wa ku rumble hawa?
Mtu hawezi kujibu swali ambalo halina jibu.
Hahahahahahah nimecheka sanaMbona nyie mlikuwa mnapiga kelele kwenye Instagram huko na siku moja kabla ya siku ya siku ujumbe umepenyeza.
Ona hawa wenzio....hivi kweli wamekaa hata mkao wa ku rumble hawa?
tupoSwali ni bado wapo wenye imani na chadema?
Kwani hao wanafanya mazoezi au wanafanyiwa mazoezi ya pasha kawaida ya polisi?!Na hao kina Mwalimu wanaonyea kwenye debe naona umewasahau kabisa...
We mbona upo field, lakini kesho utii ngwara zako barabaraniUsikae nyuma ya keyboard ukapiga kelele mbaya zaidi tena nje ya nchi njoo fild
Kwani nani asieijua Chadema, kua ni walaghaiAfterall mmekwisha watangaza kiadi cha kutosha