Bado wamo, Life begins at forty

Bado wamo, Life begins at forty

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
86
2AD96F4F00000578-3174835-image-m-38_1437890853721.jpg

+26


Cheeky: The singer and actress was not shy about showing off her fabulous figure in her forties


croll down for video
2AD96F4B00000578-3174835-image-m-35_1437890543083.jpg

+26
fff-hover.png



Still stunning: Jennifer Lopez celebrated her 46th birthday in a rather racy ensemble on Friday night

2AD96F4700000578-3174835-image-m-36_1437890734930.jpg






2AD9B0F600000578-3174835-image-a-100_1437897111224.jpg

+26


Famous booty: Jennifer showed off more of that famous derriere



 
She Is Still So Cute And Sexy.She Looks As If She Is At Her Early 20s.Mmwaaah!
 

Though uso umekosa nuru (macho) probablydue to stress she is still cute and looks young, angekuwa kijijini kwetu angekuwa mzee kuliko bi nyakomba. Nampenda jinsi anavyojiweka fit and in order.

cc:
BAK
Tized
Halle Berry wa bongo.
 
Last edited by a moderator:
Hanywi matapu tapu kama wasichana wa Tanzania... wanakula kama nguruwe kila kitu chao... mara chips na kuku yatima, chips na mayai sio na baba...
Juice za ajabu ajabu
Mazoezi zerooo..
Kujipaka kemikali kila siku...
Kuongeza maziwa ukubwa
Mashavu
Matako...
Kila kitu feki
 
Hanywi matapu tapu kama wasichana wa Tanzania... wanakula kama nguruwe kila kitu chao... mara chips na kuku yatima, chips na mayai sio na baba...
Juice za ajabu ajabu
Mazoezi zerooo..
Kujipaka kemikali kila siku...
Kuongeza maziwa ukubwa
Mashavu
Matako...
Kila kitu feki


hahahahaaa unaonekana umeghadhibika kweli kweli poleee
kubadili hii anza na binti yako kumlea kwa jinsi ya kujiamini alivyo yuko sawia na kujiweka physically fit sio kwa muonekano tuu bali kwa afya zaidi ili ajipende zaidi na si kujiangamiza. Waliopo washaharibiwa na mitandao.
 
Miaka 48 angekuwa mazingira flani saa hizi ashakufa.
 
Ukiweza kujimudu weight kila siku utakuwa kijana angejiachis saivia angekua ashaanza kulalamika miguu inamuuma
 
Huyu bibi bado anaonekana mrembo sana tu ila mavazi yake ya ajabu ajabu
 
Halle kazeeka usoni, considering quality ya make-up na lens iliyotumika.
 
Unainyaka hii ngoma?



Nilikuwa silijui hili song

Hivi Sanaa Lathan ana umri gani?
juzi nilikua so disappointed na yeye...
naona amekuwa kama those groupies now
ulisikia ya P didy na French Montana?
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana wanakuwa na "life span" kubwa compared to afrika
 
Back
Top Bottom