Bado unaamini hii kesi ni ya Ugaidi?

Jaji wa kwanza kabisa aliuambia upande wa mashtaka wayaondoe na kuyaleta upya, wakakataa.
 
Hofu ya kushindwa uchaguzi 2025
 
Walipowakamata wa kina Adamoo sehemu ya ilipo "grocery" huko Rau - Moshi, kuna madai kuwa walikutwa pia na kete kadhaa ya kile kinachodhaniwa kuwa ni madawa ya kulevya.

Hivi hicho kidhibiti pamoja na kusemekana kuchukuliwa, Je! Kilitoweka kikiwa mikononi mwa polisi?
Ama kutokana na PGO wakina Kingai walilazimika kukitumika wakiwa katika mizunguko yao ya hapa na pale wakimtafuta mtuhumiwa wa tatu wanayedai aliwachoropoka.
 
Ni pale kesi ya mchongo inaposhindwa kupata watu wa kuitetea vizuri,, chama changu cha bwana (CCM)mnanitia aibu mkiongozwa na muheshimiwa
 
Hangaya atawaambia nini BBC
Huyu Mama mwanzoni nilidhani atakuja kuwa tofauti na mtangulizi wake! Ila baada ya kuona mwanzoni kabisa mwa utawala wake anawapa nafasi nyeti watu aina ya Mwigulu! Nikajua naye ni wale wale tu.

Mahojiano na Salim Kikeke, ulikuwa ni ushahidi tosha huyu mama hana wasaidizi wazuri! Maana ule ulikuwa ni zaidi ya upotoshaji kutoka kwa Kiongozi mkuu wa nchi.
 
Ushahidi wa mashaka sana.
 
Ukweli haukuwahi kushindwa na uongo tangu dunia iumbwe!
Uongo siku zote hutangulia lakini ukweli huja baadae na unatamalaki.
Kutunga uongo hufanywa na mawakala wa shetani kwa msaada wa shetani mwenyewe.
Someni maandiko kujua adhabu na laana kwa watu hawa (ktk Biblia na Quran)
 
Sahihi
 
Hapo kwenye silaha ndiko waliponiacha hoi. Eti hawakuchukua finger print kwasababu eti waliona haina haja🤣🤣. Sasa sijui watafhibitisha vipi kuwa ile silaha walimkuta nayo mtuhumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…