Bado una shauri vijana wajiajiri kupitia kilimo

Yu jin

Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
12
Reaction score
21
ff996bc7c323956e5b71f253146b7ca9.jpg

Wewe uliyeajiriwa upo ofisini, acha kudhalau na kuwaona vijana kama hawana jipyaa kisa wapo tu wanasubiri ajira

Eti nendeni mkalime huko vijijini, akishalima, akavuna apeleke wapi??

Viwanda hakuna, Ajira mpyaa hakuna, masoko hakuna
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Mkuu umesema kweli,mimi nililima nyanya mara tatu lkn tatizo ni Soko yaani unasumbuka kulima halafu unasumbuka tena kutafuta soko,Kilimo bongo bado sana labda miaka mia ijayo.
 
Máskini nchi yangu Tanzania[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Kwani lazima kulima nyanya?
 
Huu ni upotoshaji wa kiwango cha juu
 
Upotoshaji?? We
endelea kusoma dictionary ya upotoshaji
Kama huna information za kutosha kuhusu jambo lolote si vyema kulizungumzia. Nahisi na ww huna

Mkuu umekurupuka sana. Kilimo kinalipa kama hujabweteka. Badala ya kutafuta soko unasubiri wanunuzi wakutafute?????????? Hivi huoni makampuni yanavyogangaika kutafuta wateja wa bidhaa zao! Wakulima nao yawapasa wajihangaishe kutafuta wateja.
 
Nachefukwaa nikisoma baadhi ya thread soon nitajitoa jamiiforums si kwa ushuzii huuu
 
Jiajiri kutokana na furusa iliyo karibu yako...hata kuuza mitumba,genge nk sio lazima kulima nyanya unaweza kulima hata mazao yanayohifadhika kama mahindi,mpunga mtama na nataka zingine....tusiwe watu wakulalamika tu
 
Mh kilimo cha bongo ni cha kutega, yani kama betting
Da bora niendelee kuwekeza kwa muhindi
 
Mtu asiejiajiri utamjua tu, tuliojiajiri hizo changamoto zetu kila siku, hatujawahii kujuta kujiajiri kisa kufeli kwa mara moja
 
ff996bc7c323956e5b71f253146b7ca9.jpg

Wewe uliyeajiriwa upo ofisini, acha kudhalau na kuwaona vijana kama hawana jipyaa kisa wapo tu wanasubiri ajira

Eti nendeni mkalime huko vijijini, akishalima, akavuna apeleke wapi??

Viwanda hakuna, Ajira mpyaa hakuna, masoko hakuna
[emoji57] [emoji57] [emoji57]

Mkuu umesema kweli,mimi nililima nyanya mara tatu lkn tatizo ni Soko yaani unasumbuka kulima halafu unasumbuka tena kutafuta soko,Kilimo bongo bado sana labda miaka mia ijayo.

Máskini nchi yangu Tanzania[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Kwani lazima kulima nyanya?

kwanini hukubadili mazao?

Upotoshaji?? We si upo dar kwa shemeji
endelea kusoma dictionary ya upotoshaji
Tatizo hamlimi kwa common sense ya ukulima biashara.

Lima zao ambalo unajua wakati wa kuvuna ni very very likely kua kutakua na uhitaji mkubwa sokoni.

Hiyo nyanya ungeivuna mwezi wa tatu ungekua unaongelea kua kilimo kimekutoa.

Na mboga mboga za kulima ziko nyingi sana,usifike mwisho wa upeo wa kufikiria ni sokoni tu ndio kunapatikana wanunuzi wa mboga zako,kuna makampuni,hotel,hata nchi za nje ukitaka.

.......................................................................
 
Kilimo ni kama biashara nyengine yeyote tu.. Ina hasara na faida..ili kupata faida laZima uwe na akili na mbinu za kibiashara katika utafutaji wa masoko... Nini unalima na wakati gani unalima
 
Kama huna information za kutosha kuhusu jambo lolote si vyema kulizungumzia. Nahisi na ww huna

Mkuu umekurupuka sana. Kilimo kinalipa kama hujabweteka. Badala ya kutafuta soko unasubiri wanunuzi wakutafute?????????? Hivi huoni makampuni yanavyogangaika kutafuta wateja wa bidhaa zao! Wakulima nao yawapasa wajihangaishe kutafuta wateja. Nashukuru kunitusi kwamba nipo kwa mume wa dada nikichezea remote
Unasemaje? Hivi huyo mkulima unayemzungumzia hapa ni wa aina gani? Unaishi taifa gani wewe? Mbona unaongea kirahisi rahisi sana? Unamjua mkulima halisi wa Tanzania yupoje? Eti unamfananisha mkulima na kampuni, una akili wewe? Wakulima wengi Tanzania ni wa kuhurumiwa. Ni masikini, hawana exposure yoyote, hawana elimu. We dogo endelea kuishi hapo kwa mume wa dada yako na kufuatilia tamthilia kwenye king'amuzi cha azam haya mambo mengine huyajui funga domo lako
 
Jiajiri kutokana na furusa iliyo karibu yako...hata kuuza mitumba,genge nk sio lazima kulima nyanya unaweza kulima hata mazao yanayohifadhika kama mahindi,mpunga mtama na nataka zingine....tusiwe watu wakulalamika tu
Yes ulichoandika hapa kimesadifu jina lako.
 
Unasemaje? Hivi huyo mkulima unayemzungumzia hapa ni wa aina gani? Unaishi taifa gani wewe? Mbona unaongea kirahisi rahisi sana? Unamjua mkulima halisi wa Tanzania yupoje? Eti unamfananisha mkulima na kampuni, una akili wewe? Wakulima wengi Tanzania ni wa kuhurumiwa. Ni masikini, hawana exposure yoyote, hawana elimu. We dogo endelea kuishi hapo kwa mume wa dada yako na kufuatilia tamthilia kwenye king'amuzi cha azam haya mambo mengine huyajui funga domo lako
Majibu yako yanaonyesha dhahili kuwa hujui lolote kuhusu kilimo. Unachokijua ni lugha chafu
 
Unasemaje? Hivi huyo mkulima unayemzungumzia hapa ni wa aina gani? Unaishi taifa gani wewe? Mbona unaongea kirahisi rahisi sana? Unamjua mkulima halisi wa Tanzania yupoje? Eti unamfananisha mkulima na kampuni, una akili wewe? Wakulima wengi Tanzania ni wa kuhurumiwa. Ni masikini, hawana exposure yoyote, hawana elimu. We dogo endelea kuishi hapo kwa mume wa dada yako na kufuatilia tamthilia kwenye king'amuzi cha azam haya mambo mengine huyajui funga domo lako
Wewe unajifanya wa mjini lakini unalima huku unajifananisha na wakulima wa vijijini huko Namtumbo?

Kama unafanya kilimo hiko ikitegemea kikutoe wewe wa mjini,umasikini utaoupata utawarithisha mpaka kizazi chako cha tatu.Nakushauri uache hiko kilimo sifuri chako.
 
Ndo wakulima wa kileo? Wewe na babu yako unatofauti gani?

Kwanini usiwaze kuongeza thamani mazao yako?

Utalima kienyeji hadi lini?
 
Back
Top Bottom