Bado una shauri vijana wajiajiri kupitia kilimo

Bado una shauri vijana wajiajiri kupitia kilimo

Ni kweli kabsa tazama mikoa ya kusini mbaazi bei ilikuwa 1500 ikashuka Muda mfupi kufika 900, serikali ikasitisha zoezi la kununua mpka bei elekeza mpaka sasa hivi tunapozungumza bei ya kununua mbaazi ni shilling 600. Kutoka bei 1500 mpaka 600 ni shida sana. Shilling 600 mpaka kuja kuuza mbaaza ukapata laki 1 (100000) kazi IPO
 
Nimeishi sana kwa wakinga nikagundua Kwanin wakipata mtaji kutoka shamba na kuhamia ugenini wanakomaa wasifilisike na kurudi tena kwenye kilimo. Kilimo ni kigumu! Ni kigumu asee! Mimi nimelima, nikiwa mwajiriwa nyanda za juu kusini. Msimbeze mtoa mada. Wakulima na ukulima wa tz ni umaskini tu, bora ufugaji. Humu Jf tunadanganyana sana kuhusu kilimo. Exaggeration imejaa Jf.

Sasa hivi nafuga pig kama avatar yangu inavyonitambulisha, at least naona mafanikio lakini sio kilimo. Nimeshalima sana nyie mpingeni tu mtoa mada lakini kaeleza ukweli tupu.
 
ff996bc7c323956e5b71f253146b7ca9.jpg

Wewe uliyeajiriwa upo ofisini, acha kudhalau na kuwaona vijana kama hawana jipyaa kisa wapo tu wanasubiri ajira

Eti nendeni mkalime huko vijijini, akishalima, akavuna apeleke wapi??

Viwanda hakuna, Ajira mpyaa hakuna, masoko hakuna
[emoji57] [emoji57] [emoji57][/QUOTE]
Positive people see opportunities in every challenge WHILE Negative people see imposibilities in each opportunity
 
Nimeishi sana kwa wakinga nikagundua Kwanin wakipata mtaji kutoka shamba na kuhamia ugenini wanakomaa wasifilisike na kurudi tena kwenye kilimo. Kilimo ni kigumu! Ni kigumu asee! Mimi nimelima, nikiwa mwajiriwa nyanda za juu kusini. Msimbeze mtoa mada. Wakulima na ukulima wa tz ni umaskini tu, bora ufugaji. Humu Jf tunadanganyana sana kuhusu kilimo. Exaggeration imejaa Jf.

Sasa hivi nafuga pig kama avatar yangu inavyonitambulisha, at least naona mafanikio lakini sio kilimo. Nimeshalima sana nyie mpingeni tu mtoa mada lakini kaeleza ukweli tupu.
Unafugia wapi mkuu
 
ff996bc7c323956e5b71f253146b7ca9.jpg

Wewe uliyeajiriwa upo ofisini, acha kudhalau na kuwaona vijana kama hawana jipyaa kisa wapo tu wanasubiri ajira

Eti nendeni mkalime huko vijijini, akishalima, akavuna apeleke wapi??

Viwanda hakuna, Ajira mpyaa hakuna, masoko hakuna
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Kilimo ni biashara kama biashara nyingine. Kilimo huhitajikujitoa, kutafiti na kujua nyakati gani ulime na ulime nini. Kuna haja ya kugharamia utafiti binafsi (sio lazima wa kisayansi kwa maana ya research hata utambuzi yaan observation and studying trends movement). Tukumbuke hata kwenye biashara kama hisa watu hupata na kupoteza pesa vilevile licha ya kwamba biashara ya hisa ina mzunguko na faida kubwa kwenye masoko duniani. Kitu cha msingi ni kimoja tu kwenye soko nacho ni demand and supply bas. Ukijua namna ya kukichanganua na kukivizia hakika kilimo hakitokutupa. Ndugu uliyetoa posti nyanya hizo zinazoliwa na ngombe kwa kukosa wateja kati yamwezi wa nane hadi wa kumi na moja amini nakwambia Arusha na Moshi zilikua ni bidhaa adimu mno mwezi wa tano na wa sita mwaka huu huu! Lakini wengi tunalima kufuata msimu na ndio maana tunatengeneza excess supply kwenye masoko. Wale waliolima nyanya wakawa wanavuna mwezi wa nne,tano sita walipata faida kubwa mno ndugu yangu. Pia kama walivyosema wengine kilimo ni biashara unaweza kuamua uingie wapi,unaweza kuwa muuza pembejeo, dalali, mnunuzi wa jumla pia ukawa muongeza thamani ya mazao kwa maana unanunua mazaokisha unatengeneza bidhaa kutokana na hayo mazao
 
Wasomi wenyewe aina ya kitila Mkumbo unategemea nini..
 
Bado lawama itatupiwa serikali kwasababu tatizo la masoko sio kwa nyanya pekee kuna mahindi, korosho, tumbaku, ufuta n.k

Hii ni kutokana na sera duni ya wizara husika juu ya utafutaji wa masoko ndani na nje ya nchi.

Kuhusu swala la usindikaji wa mazao ya kilimo tatizo kubwa ni utoaji wa elimu hiyo ya usindikaji bado jukumu hili kama limeachiwa mashirika binafsi ambayo hayaja sambaa maeneo yote hapa nchini
 
Unasemaje? Hivi huyo mkulima unayemzungumzia hapa ni wa aina gani? Unaishi taifa gani wewe? Mbona unaongea kirahisi rahisi sana? Unamjua mkulima halisi wa Tanzania yupoje? Eti unamfananisha mkulima na kampuni, una akili wewe? Wakulima wengi Tanzania ni wa kuhurumiwa. Ni masikini, hawana exposure yoyote, hawana elimu. We dogo endelea kuishi hapo kwa mume wa dada yako na kufuatilia tamthilia kwenye king'amuzi cha azam haya mambo mengine huyajui funga domo lako
Huu ndio upeo mdogo wa kufikiri niliowahi kukutana nao jf tangu nijiunge humu miaka 6 iliyopita...you are still young...u still have chance to learn more...especially more about agribusiness ili ubadili fikra
 
Daah inawezekana una elimu kubwa sana ila busara ndio kitu ulichokosa. Badala ya kuchambua nilochochangia na kuonyesha udhaifu wa hoja yangu wewe unanishambulia mimi tena kwa dharau tele.... mchana mwema
 
Huu ndio upeo mdogo wa kufikiri niliowahi kukutana nao jf tangu nijiunge humu miaka 6 iliyopita...you are still young...u still have chance to learn more...especially more about agribusiness ili ubadili fikra
Agribusiness tz? Nyie Ndiyo wasomi uchwara ke.nge kabisa. Chance to learn more?!! You are old enough but hopeless, useless and you will die without any contribution to Tanzanians with your old views. Huijui tz wewe ndo mana wenye taaluma zao wamekaa kimya kwenye Uzi huu.
 
tabu ya watu wengi wanategemea mafanikio leo na wanaiangalia faida katika sehemu mmoja ya moja kwa moja.
hili limesababisha maziwa yatokanayo na ng'ombe kuwa ni sumu kwa watoto wengi kwa kuwa wafugaji wengi wameangalia maziwa peke yake kama sehemu ya faida na matokeo yake ngo'mbe akichanjwa chanjo hakuna mfugaji anayemwaga maziwa hata kwa siku tatu na kusababisha wateja kula sumu.
kilimo kina lipa kama hakilipi leo basi kitalipa baadaye na wako watu wamefanikiwa kwa kilimo hocho pia.
ikimbukwe wazi tuvipatavyo ni pamoja na fedha si fedha peke yake maana yake nini ni kwamba kama leo hukufanikiwa kuna shule umejifunza wakati mwingine usishindwe kama mwanzo.
hebu fikiria yule aliyetengeneza bulb alijaribu mara 1000 kama asingeendelea leo tungekuwa wapi.
hivyo hakuna kukata tamaa.
binafsi nalima na kunawakati huwa kinanikata sana lakini siwezi kuacha kwakuwa ipo siku kitanitoa kwa hatua zingine.
pia faida nyingine ni vizuri kama unapenda kulima ukanunua ardhi, kwa kuwa miji inakuwa unaweza siku za mbele ukauza viwanja na hasira zako zikaisha achilia mbali kama siku soko likikaa vizuri.
watu wengi wanaopata hasara ni wale wanaolima kwa laptop hii inasumbua sana lakini wanaokuwepo shambani hawapati hasara kubwa.
nini kifanyike:-
  • fanya utafiti wa kutosha kama unauwezo na muda wa kutosha kwa kilimo ulichokusudia
  • fanya uchaguzi makini kwa kuzingatia
    • ujuzi,muda na maarifa
    • soko
    • kipato
    • mtaji
    • tarajio la kile kitakachobaki kwa mavuno unayotegemea
  • panga utekelezaji
    • kwa kuzingatia mpango kazi
    • raslimali zinazohitajika
  • usimamizi
    • tenga fedha ya dharura
    • jikubali kuwa unaweza kupata hasara na uwe na option ya kutuliza maumivu yako.
si wote wanaweza kuajiliwa hivyo kuanguka kwa soko kusiwakatishe tamaa kwa wakti huu.
 
Hii mada tamu wachangiaji wengi hapa wanawafananisha wakulima wa analogy na sisi digital ,digital tunapiga pesa wacha utani kabla sijafika mbali embu ndugu mtoa mada pitia sokoni buguruni au kama uko mikoani kaulize bei ya gunia moja la pilipili kali,tangawizi na kitunguu swaumu maana hvo ndo nadeal navyo afu tutakuja kuendelea na hii mada
 
Back
Top Bottom