Bado tu?

Bado tu?

Tuwe na subira mkuu. Utasikia jinsi atavyopokea kukatwa kwa unyenyekevu mkubwa!

Wanasema mbio za ulingoni huishia ukingoni
Akatwe tu ili watuletee mzalendo wetu Mako make kama nuru ikishinda na ishinde kweli
 
Kuna lile tangazo la Airtel linasema HAKATWI MTU HAPA....lingefaa sana kipindi hiki
 
kizungumkuti.jpg
Jembe lao katikati
 
nan anayelia- ZZK au CDM? tuwe wakweli kabisa, kwanza siku hiz ukizungumzia CDM unaonekana mtu wa kaskazin au chiz-wanatembelea nyota ya UKAWA

Pole sana
Kuitwa timu ya Taifa hakumaanishi huna Clb ya kuchezea
Subiria Oktoba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom