bado sielewi cha kufanya

emmy 2nyi

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
66
Reaction score
25
habari wana MMU....

toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana bado cjapata cha kufanya ili mawazo yapotee kabisa.. jamani naomba mnisaidie mbinu za kusahau japo kidogo 2 coz naona wait inazidi kupotea tu.... help me plz
 
Tafuta rafiki wa kiume wa kukupa kampani, mnatoka, mnapiga piga story mdogo mdogo utasahau...pole sana!!!
 
pole sana jitahid kuona kwamba ni mipango ya mungu..utafarijika
 
Mwezi wa 4 mwaka Jana hadi leo hii............

My dear You can get over a lost love, but only if you're willing.!!!

He's moved on and happier now MAY BE, give yourself the permission to do the same!!
 
Wewe ndo hutaki kuamua,

Maisha lazima yaendelee
 
habari wana MMU....

toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana bado cjapata cha kufanya ili mawazo yapotee kabisa.. jamani naomba mnisaidie mbinu za kusahau japo kidogo 2 coz naona wait inazidi kupotea tu.... help me plz

Love sickness hurts, but does not kill...!
 
habari wana MMU....

toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana bado cjapata cha kufanya ili mawazo yapotee kabisa.. jamani naomba mnisaidie mbinu za kusahau japo kidogo 2 coz naona wait inazidi kupotea tu.... help me plz
Mwarobabaini wa tatizo lako ni wewe mwenyewe kuto kukubali matokeo bado unahisi bado kuna nafasi ya kuwa naye kitu ambacho hakiwezekani,ruhusu moyo wako kupata mwanaume mwingine ambaye atakuwa faraja yako I hope utasahau tu
 
Wizara ya afya kitengo gani? Usikute nakulipa overtime na unacheza tu hapa jeiefu!

Weekend Kama hizi patients sio wengi so instead of sleeping tunachungulia huku kidogo ilimradi kukuche tukalale vitandani mwetu
 
Mwezi wa 4 mwaka Jana hadi leo hii............

My dear You can get over a lost love, but only if you're willing.!!!

He's moved on and happier now MAY BE, give yourself the permission to do the same!!

inawezekana kafa maana hajasema kaondokewa kivipi.?
 
Ni sawa kuomboleza pale unapoondokewa na mtu umpendae.....bt u really hv to knw tht he wants u to be happy and able to continue with ur life.i blv ur still young and energetic, find something to do tht will make him proud of u...and when the right time comes ull find another prince charming.#goodluck #.
 
What doesn't kill you makes you stronger.Just move on with ur life,find people u share interest hangup with them, after sometimes u will get through that situation.
 
Pole sana..unaweza tu ukaniPM nitakwambia cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…