Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
Kama una uhakika ni ya mtandao ungeweka ushahidi mkuuHio picha na uhakika ni ya kutoka mtandaoni sidhani Kama ni ya hilo tukio .pole sana
Kama una uhakika ni ya mtandao ungeweka ushahidi mkuuHio picha na uhakika ni ya kutoka mtandaoni sidhani Kama ni ya hilo tukio .pole sana
Hiyo picha mbona haioneshi ni ya miaka kumi iliyopita?Kwenye gari chief...
Hii ajali ilitokea Nyerere road, mkabala na mtaa wa posta, karibu kabisa na jengo lenye ofisi za ilipokua SUKITA huko Mwanza.Ilitokea wapi na ulipoteza ndugu wangapi? Pole
Chukua tahadhari mkuu, hakikisha unatumia safety gears na usiendeshe kwa mwendo wa kasi kupita kiasiNionapo matukio km hayo hua akili Yangu inastack.coz mwenyewe ni bonge LA motorida,so!najua maumivu yake.bike ndio imegoga gari sio?pole mkuu na wote waliopo ktk ajari hiyo.
sasa unaelewa ulichokiandika ?
hueleweki ,....hapo kuna muhtasari kwamba mlipata ajali wafariki ndg zako (not sure kama ni ndg au jamaa/washkaji)
any ways pole, kuna maisha baada ya kuondokewa na mtu wako wa karibu au ndugu....maana njia yetu ni moja!
jifunze kusimulia jambo, vinginevyo haina maana kuileta hapa
Ndio matatizo us magari ya mkopo!!Haikua familia mkuu, bali walikua watu wangu wa karibu.... na mbaya zaidi nilikua ndio nimechukua gari la mkopo na hata mwezi moja ilikua haijapita haki
pole sana chiefInasikitisha hakika