Mwendo mkali unaua.Pikipiki ilikuwa katika mwendo mkali na gari ilikuwa kwenye mwendo mkali pia.Ukaguzi wa eneo la tukio pamoja na vyombo husika itasaidia kupata ukweli mzima.Mwanzoni, sikuamini kwamba walikuwa wamekufa. Kwa hakika nikiwaza sana namna gani wote waliweza kufa kwa pamoja...![]()
Wakati pale nilitambua kwamba ilikuwa kweli wamekufa, bado ilinichukua muda kitambo kuamini kama kweli walikua wamekufa.
Ama kwahakika, hili ni tukio lililo niliumiza sana na kunifanyia majeraha makubwa moyoni, na katika maisha yangu sikuwahi kuumizwa na kujeruhiwa moyoni kwa namna ile...![]()
Siku zilivyo zidi kusogea nilijisikia kama kuishi bila wao haina maana. Kwa muda wa miezi mingi, nilikuwa ninalia kila siku..![]()
Nilijilaumu kwa sababu niliacha mtu mwingine aendeshe gari lile kwasababu tu nilichelewa kurudi kutoka kwenye starehe....
![]()
Pengine hawangekufa ikiwa ni mimi ndie ningekua naendesha gari lile.
“Miaka kumi na sita imepita, na nimerudilia maisha yangu ya kawaida. Lakini, kifo chao kimeacha jeraha na sonona katika moyo wangu. Hiki ni kidonda ambacho hakijapona mupaka sasa, kwa babu nahisi kama pengine nisinge enda kwenye starehe, watu hawa wasinge kufa"
View attachment 889137
Hauja kosea chief....Mwendo mkali unaua.Pikipiki ilikuwa katika mwendo mkali na gari ilikuwa kwenye mwendo mkali pia.Ukaguzi wa eneo la tukio pamoja na vyombo husika itasaidia kupata ukweli mzima.
Naamini unapata nafuu /wepesi pale unapolizungumzia.Asante mkuu, lakini ni tukio lililo kataa kufutika kwenye akili yangu...![]()
![]()

Huo ni mseto yaani mchanganyiko wa gari na bodaboda.Ukichangamsha macho utaona tu mkuu
Mkuu ametoa hapa www.strange cosmos.comHio picha na uhakika ni ya kutoka mtandaoni sidhani Kama ni ya hilo tukio .pole sana
Sawa mkuu, sioni ubaya kama nikiambatanisha kisa hiki na pichaWww.strangecosmos.com kwenye website hii ndiko ulikotoa picha hiyo mkuu
NaUnGa mKoNo hOjA.....Mkuu ametoa hapa www.strange cosmos.com
Tukio lilitokea? Je hiyo picha yenyeweSawa mkuu, sioni ubaya kama nikiambatanisha kisa hiki na picha
Samahani mkuu kwa kujaa upepoHakuna tukio lilo tokea mkuu....
Nadhani nimekurahisishia jibu chief