beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Heehehhe aende NGO au ustawi wa jamii. Chonde chonde jaman naomba nisielewekekama anataka msaada c akaombe kanisan ama msikitini?
cjakupata mkuu., . . username yake ni wakati ndio sasa ama unamaanisha nini?
Q
Sorry! My fellow, nimemix marumba! Nilidhani huyu aombae kibarua ndiyo yule as known Mtakatifu Black Cat !
Kumbe ni "Time is now! "
hapo sasa i had bare new song !
Nevertheless due my vision mbona to your side naona kama a vacancy available ? Au ni macho yangu tu ndiyo hayaoni ?
Njoo ni kung'ate sikio!
huyu mbona ataingia king tu,sema anapenda njia ndefu kishenzi,anatoka dar kwenda arusha lakni mpaka aend kigoma,mwanza,singinda ndo aje arusha
Charm jamani,
Kiduchu tu,
afu umpotezee!!
Mbona unakuwa hujui kula na kipofu mwaego?
Bange mbaya
Unavyo mbembeleza kama kuna safari ya kwenda mbinguni.
Uko poa?
Wamekataaaa!!!!!!????ha,ha,ha,...iiiiii,.,wamenitumia adaaaaaaah!!,...wamekataaaaaaaaaa,
Nawewe sasa unakoelekea utaniudhi,
Hivi wewe kwenye hizo Beg'Party zenu si mnapewaga mbinu na mastyle yote ya kumtokea Kishtobe?
Au wewe unaendaga chaka?
Hebu kapasue kibubu chako umletee Macheda hayo uone kama ataendelea ku-mbwelambwela.
Si unajua tena mambo yetu yake?
Mimi niko poa sana kuliko maelezo.
Haya leo unaianzaje papito?
Hahahahahaha!!!Nakuaminia mkuu,nitakuja kuyatumia siku wakati ndio sasa anakula kiapo cha ndoa na charminglady....kaza buti kazi kubwa ishafanyika hapo unamalizia tu wacha nimuite babu Asprin na babu Dark City waje kutoa msaada hapa...
Hahahahahaha!!!
UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE .
Naona charm kaanza kulegea mwenyewe leta ile picha watu waone
wakati ndio sasa lazima achukue kifaa!
Bas achape lapa tuu sasa ansubiri nin
hv wewe wakati unazaliwa ulitanguliza mguu ama mkono, mwanaume huelewi la mhadhini wala mnadi swala khaaaa!