St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
jaman jaman nahis utazirai kabisa ana mwenye mke akitokea hapa atakutundikia diripu wewe shauri yako. Dah ila pole sa nkuletee nin? Mgonjwa
jamani mie msimamo wangu upo palepale mbona hanielewi? SITAKIII
wewe ni mtu muhimu sana ktk kufanikisha hili,lakni naona unamuita cl kama haupo serious!,...ama una nipiga za uso kama BADILI TABIA ? please help me in this,
kuna wanaume ving'ang'anizi...
si ulishakataliwa?
unang'ang'ania nini sasa?
Hata mitishamba itasaidia mama naona hizi dawa zao hazisaidii,na mitishamba ikishindikana si unaweza kukaa na mimi japo kwa usiku mmoja tu kunifariji..
cl shost hebu njoo utiririke mana huyu bway hapa yuko na ma feeling mooobu juu yako atiii
Usiharibu kijiwe hapa oooho usiku mmoja anakufariji nan alaaah we endelea kuugua
beibe nasty shostito me kiukweli cjampenda hata ukucha cjui nifanyeje. cna feelings nae hata punje ya haradali. . .
Punguza hasila mama si unajua hasila hasala.....
Wacha nirizevu maneno haya for fucha yuzi
Duh haya mambo mazito...jama anapga sound kwa Dr wa timu ya jf tena ile first eleven...
dr dr dr upo
wakati ndio sasa usitie shaka navyoona hapa kuna haja ya kuliundia tume hili suala chini ya babu @Aspin nina hakika kwa hekima zake utafanikiwa tu....
nipo sana, nashanga et hata me ananipiga sound!
Dr.Dr mi hapa nipo na my arabela tumechili..
jamani mie msimamo wangu upo palepale mbona hanielewi? SITAKIII
"kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport" haya we endelea kusubiri kama itakuja. . .
Ushauri wangu kwako!
Kwanza tumshauri abadili username from Black Cat to White Dog !
Akikubali basi mfikirie kumpa kibarua.
Unaisemeaje ?
Kuua mtu sio lazima umpige na nyundo kichwani. majibu tu yanaweza kufanya mtu ajinyonge bila hata kuacha ujumbe. Mia