bado nalia na charminglady

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
Wakubwa,wana chitchat, mwenzenu bado nalia na charminglady .Najua ni mateso kupenda usipopendwa,sina budi kusema hili,kiukweli ninateseka sana tena sana na huyu mlimbwende,naomba mtu ambaye yupo karibu naye anisaidie
Nimekuwa na wakati mgumu sana hasa ninapomgusa tu hata kwa salamu anakua mkali sipata ona,kama hamuamini ngoja muone post zake hapa atakavyo nishambulia.Namini Kongosho , FirstLady , cathelin Madame B na wengine mkiingilia kati ntaweza kufanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Dah!
Sasa mbona hukutushirikisha kipindi kile?
charminglady hebu njoo umsikilize kijana mwenzako anateseka juu yako jamani,atakunywa Ratkill!

Msubiri anakuja.
 
Last edited by a moderator:
mama naye anakuja juu Wapi mahari aliyekula hajulikani.

mama subiri kwanza,huku wewe hutakiwi,tukisha pendana na kuelewana ndio mama utahusishwa ikiwa ni safari ya kueleke harus au unasemaje mama?..,lakni unaweza kutuma mashost wako wanisaidie kuchombeza
 
Dah!
Sasa mbona hukutushirikisha kipindi kile?
charminglady hebu njoo umsikilize kijana mwenzako anateseka juu yako jamani,atakunywa Ratkill!

Msubiri anakuja.

mmmh,anakuja lakini mapande atakayonipa itakuwa hatari tena ya uso
 
Last edited by a moderator:
cl shost hebu njoo utiririke mana huyu bway hapa yuko na ma feeling mooobu juu yako atiii
 
Heri wewe umekuwa muwazi,mi hapa naumia tu juzi nimemkuta eversmilinGal anakaribisha watu ufukweni na mimi akanisahau....

dah pole sana,..alafu ukafanyaje?...au ndi wewe ulipitishwa kwenye ambulance unapelekwa muhimbili?
 
Last edited by a moderator:
cl shost hebu njoo utiririke mana huyu bway hapa yuko na ma feeling mooobu juu yako atiii

wewe ni mtu muhimu sana ktk kufanikisha hili,lakni naona unamuita cl kama haupo serious!,...ama una nipiga za uso kama BADILI TABIA ? please help me in this,
 
Last edited by a moderator:
"kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport" haya we endelea kusubiri kama itakuja. . .
 
jaman jaman nahis utazirai kabisa ana mwenye mke akitokea hapa atakutundikia diripu wewe shauri yako. Dah ila pole sa nkuletee nin? Mgonjwa
Mimi ni mzima tu hapa la aziz nauguza machungu ya kukataliwa karibu hospitali labda nitapata nafuu
 
"kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport" haya we endelea kusubiri kama itakuja. . .

Cl hebu punguza jazba mama nafahamu ulivo makin na mwenye kusimamia msimamo wako mi nalifahamu hilo kipenzi hebu maikilize kwanza halaf tuone inakuaje kama sera zake ni zilezile basi utamtupa kwenye dastibin
 
Dah!
Sasa mbona hukutushirikisha kipindi kile?
charminglady hebu njoo umsikilize kijana mwenzako anateseka juu yako jamani,atakunywa Ratkill!

Msubiri anakuja.

jamani mie msimamo wangu upo palepale mbona hanielewi? SITAKIII
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…