Bado Naendelea kutafuta jibu CCM na CHADEMA: Je, ni wapinzani wanaofanana?


Muarobaini Mchungu

Muarobaini Mchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
281
Likes
1
Points
0
Muarobaini Mchungu

Muarobaini Mchungu

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
281 1 0
Nilipost hii mwezi wa NNe, Na Matukio ndo yanazidi kunichanganya yaani kufanana fanana kwingi...... anyway Nakumbushia ili wapiga kura tutafakari zaidi kwa ajiri ya Tanzania.......2015

""Jibu rahisi ni HAPANA hawafanani! bado niko katika kutafakari juu ya nani ni afadhali ya mwenzie. Kwa mwenendo wa matukio haswa ya KIMAFIA yanayotokea (Ndani Ya CCM/CHADEMA) yananipelekea kuichambua historia ya ukombozi wa taifa hili kama ambavyo ukombozi ulivyofanikishwa katika mataifa mengine Duniani. (japo nahisi tunalazimishwa nao CCM/CHADEMA kuamini wasemayo wao).

CCM wakiwa ni washika dola, naamini wana nafasi nzuri ya kufanya ''umafia'' ( refer to harakati za kudai UHURU- TANU) kwani wamekumbana na mengi katika kuhakikisha utawala/ serikali yao inaendelea kutawala kama ilivyo kwa serikali nyingi zilizoko madarakani (this is FACT not opinion).

CHADEMA nao wakiwa ni wapinzani wanaokaribia kutawala nao wana nafasi ya kufanya ''Umafia'' pia. Huwezi Kutawala nchi bila kuwa na ''umafia'' (This is FACT as well - FUATILIA KAULI/HARAKATI ZA KUKOMBOA NCHI) huku ukitegemea kura tu za wananchi ambazo mie naamini huwa baraka za mwisho tu baada ya vita kubwa za chini chini, za siri na wakati mwingine za hatari. Wanasiasa wote wanajua hili.

IPO SIKU HIZI "HADITHI KWAO" CCM/CHADEMA zitakuwa hadaharani tu na si katika emotions au KUFIKIRIKA.....
Watanzania nawaomba tuwe wavumilivu na tuendelee kuwafuatilia mwenye dola na mtaka dola..... Amen.
Natarajia kuendelea KUSIKILIZA PAMBIO nyingi tu zenye melody tofauti tofauti toka kwa vyama hivi huku nikiwataadharisha WENYE KURA kuwa 2015 kura yako iwe kwa TANZANIA, hiyo ndio itakuwa hukumu ya kweli! 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,165
Likes
17,773
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,165 17,773 280
Kuilinganisha CDM na CCM ni kinyume kabisa, yaani unamfananisha Binti Mwali, Kigori na msomi dhidi ya Bibi Kizee, Mchawi na asie na busara ..... unafikiri nani ataposwa fasta? Nani anauzika?

Please redo labda uweke sijui kitu gani huko but not CDM Vs CCM
 
Muarobaini Mchungu

Muarobaini Mchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
281
Likes
1
Points
0
Muarobaini Mchungu

Muarobaini Mchungu

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
281 1 0
Kuilinganisha CDM na CCM ni kinyume kabisa, yaani unamfananisha Binti Mwali, Kigori na msomi dhidi ya Bibi Kizee, Mchawi na asie na busara ..... unafikiri nani ataposwa fasta? Nani anauzika?

Please redo labda uweke sijui kitu gani huko but not CDM Vs CCM
Mkuu hatufananishi sura, tujaribu kufananisha matukio, unaweza ukawa na sura nzuri lakini ukawa mchawi kuliko bi Kizee!! Tafakari
 

Forum statistics

Threads 1,275,220
Members 490,932
Posts 30,536,052