Miaka inaenda sana, tulitembelewa na wageni wengi na wakatoa ahadi nyingi za kutoa misaada hapa kwetu, ila naona miaka mitano inakata sasa, je hiyo miradi ni mingapi ilisha anza, hebu nianze na ahadi ya mfalme wa Morroco ya kutujengea uwanja wa mpira kuke Dodoma na kutujengea msikiti, je hiyo shughuli ilisha anza?Waziri mkuu wa Ethiopia...wa India, list ni ndefu, hao ni baadhi ya. Je, kwa nini kilicho ahidiwa hadi leo hakijaanza? walituahidi hewa?
Sent using
Jamii Forums mobile app