Bado mshahara upo?

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
I hope wale wa kupokea Tar 5 bado mnazo. sisi wa tar 25 tulishamaliza kitamboooo!!!!

ijumaa hii inakuweje sasa? kwani serikalini wanalipaga mishahara tar ngapi?

hakuna wazee wa kat bar humu coz walichota mahela mengi sana.
 
Wale wa kulipwa kila mwisho wa wiki naona bata mwanzo mwisho
 
I hope wale wa kupokea Tar 5 bado mnazo. sisi wa tar 25 tulishamaliza kitamboooo!!!!

ijumaa hii inakuweje sasa? kwani serikalini wanalipaga mishahara tar ngapi?

hakuna wazee wa kat bar humu coz walichota mahela mengi sana.

Hapo unanichanganya Mimi Kabopa kabisaaaaaaaa .......kumbe kuna kitu chaitwa mshahara??? Yetoo
 
Back
Top Bottom