Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,491
- 62,884
Afya ikiwa njema,siku zinakimbia sana......na ukifanya tathmini inawezekana ulichokipanga bado kufanikishaAiseee juzi juzi hapa ilikua January ,siku zinaenda kasi sana ,vipi wewe ushauaga ubachela? Kama bado njoo tuuage wote unbalanced Equation(joke)[emoji1]
ha ha ha ha itabidi hiyo mipango uipeleke mwaka unaofuata,kiuhasibu huwa wanaweka hii alama c/fMiaka inaenda mambo bado kichwa kinauma hatari
ha ha ha ha na zikianza kupigwa zile nyimbo....Tutauaga siku ya christmas mkuu
ha ha ha ha inabidi upate balimi kitulie
Siku zinakimbia sana,bado miezi miwili tu mwaka uishe.Je wale mliokuwa na malengo ya kuukataa/kuagana na ubachela au 'usimbe' yametimia?Kama bado,tuongeze juhudi kwa siku zilizobaki,si vizuri kuwa 'msimbe'.
ha ha ha ha kwa nini mkuu?Wewe ndo mimi kabisa
Malengo yameenda fresh ila ili la kupata............sijui shida iko wapi..dahWewe ndo mimi kabisa
Usimbe ndio nini Equation x ?
Ungenijibu tu wewe uliyeliandika hapoJua maana ya neno Msimbe
Mwenye kujua maana halisi ya neno MSIMBE anaweza kushuka hapa maana yake, nakutana nalo mara kwa mara ila sifahamu maana kamili !!!www.jamiiforums.com
Tukae kikao basi tujadili shida iko wapi umri unaenda huuMalengo yameenda fresh ila ili la kupata............sijui shida iko wapi..dah
ha ha ha ha ha ni neno la kiswahili lenye maana hiyo,angalia kwenye kamusi ya kiswahiliUngenijibu tu wewe uliyeliandika hapo
Huo uzi watu wametoa maana wanazojua wao