Yupo anaelipia kodi ya nyumba tuu
Yupo anaelipia DSTV+bili za maji
Yupo anaelipia mavavi+nauli za town
Yupo anaelipia hospital checkup
Yupo anatunza +kulipia mtoto shule kama unae single mother
Yupo anaelipia transport kama itaonekana nyumbani kwao Kuna matatizo ili aweze kusafiri(mkoani)
Sasa hapa mimi sijui nichague kipi maana nikisimama nchale nikichuchumaa nchale
Kazi kuzana ila wanawake wanatukazia