Bado kuna Wanawake wasiopenda hela

Tabia ya kuomba omba ni ya kujiendekeza tu, wapo wadada mi nshakutana nao japo ni wachache sana ila wanapambana na hali zao.

Hawa wenyewe tabia za kuomba omba ni wasumbufu mpka kwa ndugu zao.
 
Itakua walikua na malengo na wewe ndio maana walikua hawakuombi hela. kinyume na hapo utapigwa mizinga zaidi ya ile 21 anayopigiwa Rais.

Nafikiri ni tabia tu mkuu, maana sioni ni jinsi gani mwanamke anaweza kuwa na malengo na mume wa mtu?
 
Tunawaombaga hela wanaume ambao hatuwapendi. Huu ndo ukweli, labda niwe na shida iloshindikana kote kote.

Ukiona unaombwa kila siku jua kuna shida sehemu.
Aisee hili lina ukweli. Kuna baadhi ya wanawake wanatumia kuomba hela kama difensi mekanizim. Yaani ukimtokea tu kama hakutaki, badala ya kukukataa laivu yeye anakupiga vizinga mfululizo mpaka mwenyewe unakimbia πŸ˜€πŸ˜€
 
Tunawaombaga hela wanaume ambao hatuwapendi. Huu ndo ukweli, labda niwe na shida iloshindikana kote kote.

Ukiona unaombwa kila siku jua kuna shida sehemu.
Hiyo.unawaza wewe. Wengine wanadhani ukishamtongoza unageuka mzazi wake instantly.
 
Ooookay noted[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tunawaombaga hela wanaume ambao hatuwapendi. Huu ndo ukweli, labda niwe na shida iloshindikana kote kote.

Ukiona unaombwa kila siku jua kuna shida sehemu.
 
Wanavumilia wafanyaje sasa,rijali afu no money,UNAVUMILIA TU
 
Ni kweli ila hela mtafute maana na asiekuomba anategemea umpe bila kukuomba
Hela haina nafasi katika mapenzi. Yan ukianza hizo nasepa kama ifuatavyo. Hakuna uhusiano wowote wa pesa yangu n mapenzi yako. Ukifuata unalolenga unatafunwa then unawekwa kwenye recycle bin.
 
Hela haina nafasi katika mapenzi. Yan ukianza hizo nasepa kama ifuatavyo. Hakuna uhusiano wowote wa pesa yangu n mapenzi yako. Ukifuata unalolenga unatafunwa then unawekwa kwenye recycle bin.
Wala usijali wananaume wanaotoa bila kuombwa wapo sana.wewe pambana na hali yako.
 
Acha kujidanganya wewe!!

Hamnaga mwanamke asiyependa hela. Huyo ana wanaume zake huko wanaomla na kumuhonga. Labda wewe unaweza kuta tu umepata bahati ya kupendwa na yeye tu.
 
Wadada wa namna kama hiyo walishakufaga miaka ya 50 ila... Kama hao ni miaka ya sasa ulikua unasaidiwa kutoa huduma we lala tu nakujisifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…