Hakika id yako inatambulisha tabia zako!When it comes to love don judge[emoji11][emoji11]
Ahsante kwa kulijua hilo
Hatuja mkashifu tumemshangaa huo ujasiri wa kutaka kudu na muathurika Huku akijua kaupata wapi?...Japokua ninmwili wake hata akipata ukimwi sisi haitusumbui.Mwisho wa siku kila mtu ana uhuru wa kuamua afanye nini na maisha yake. Haina haja ya kumkashfu wakati maisha ni yake yeye binafsi, k yake hashei na mtu mwache aitumie atakavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe were ni muathirika wa HIV Nini?...sio kwa kusupport Mapenzi yakujitoa muhanga.. let me get HIV in the name of love...love is blind. Nakupenda jinsi ulivyo Nipo tayari kunywa ARV for the rest of my life. No that's RubbishWapo wenye mapenzi, lakini hata huyo mgonjwa anastahili kupendwa. Miaka yenyewe ya kuishi duniani iko mingapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Got you Madame,so you would do likewise for the sake of Love?When it comes to love don judge😙😙
Je, Wewe unaweza kuuza match kwa mgonjwa mwenye mapenzi ya kweli?Si bora mgonjwa mwenye mapenzi ya dhati kuliko mzima kiruka njia, maishe yenyewe yako wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa jina lakoRiP. Upumzike salama shujaa.
Back to you: wewe ni mwanamke dhaifu.
Surely i will, bt with protective measures 😀😀😀Got you Madame,so you would do likewise for the sake of Love?
Hata sijuiJe, Wewe unaweza kuuza match kwa mgonjwa mwenye mapenzi ya kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa jina lako
Sent using Jamii Forums mobile app