Bado kidogo ya Ben Paul wimbo bora mwaka 2018

Hiyo ngoma ni kali sana lakini kama itaingia kwenye category ya inspirational song basi ile ya Sitabaki Nilivyo itashinda kwa ubora.
 
Hiyo ngoma ni kali sana lakini kama itaingia kwenye category ya inspirational song basi ile ya Sitabaki Nilivyo itashinda kwa ubora.
Kali sana
Nafkiri alijaribu kukumbuka mpigania haki Tundu lissu

"nakuona unapigania haki..... Simama utashinda"

Ina encourage sana kupambana
 
Back
Top Bottom