Hili swala linafikirisha, Chama ambacho kina ofisi kila mkoa, imekuwaje wanaenda kujilundika kwenye hema namna Ile, na Nchimbi yupo wapi mbona amekuwa mtoro wa vikao?

Hata mgonjwa ukiona ana aibu ya kuangalia watu ujue israili ameshafanya yake, Samia siku hizi hainui macho anaangalia chini tu, hapa parapanda ipo tu atake asitake.