Bado hali yangu haipo vizuri, niombeeni

Bado hali yangu haipo vizuri, niombeeni

Aisee kila nikikumbuka mkwara aliokuambia "Ukiendelea utazipoteza" naishia kucheka tu, mke wako angepotea njia kidogo tu angekuwa jambazi šŸ’
 
Imagine she was ready kuzing'oa... Aiseeee ila wanawake....

Me mke wangu akija kufanya hivo... Sitasita kununua gunia tatu za mkaa....
 
Mkuu ulitakiwa uchukue hatua madhubuti ili umfanye ajutie dhidi ya alichokifanya. Kukuminya pumbu hadi unalia kama mtoto ni zaidi ya ukatili mkuu. Jipe muda, mkeo hizo pumbu atazifanya kuwa shamba la bibi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom