Badilisha single phase ya nyumba yako iwe three phase

Badilisha single phase ya nyumba yako iwe three phase



Step up booster ni sawa na stabilizer katika kufanya kwake kazi.Tofauti ya stabilizer na booster ni kwamba ina uwezo wa ku-boost umeme hata ukishuka kwa kiasi kikubwa mfano even the input voltage decline to the half of normal voltage 115v out of 230v still booster itaweza kuukuza umeme huo na ukatumiaka kama kawaida.


Swali hapa ni kivipi booster inawezaje kukabiliana na extrem low voltage while the truth is that; when the voltage decreases the currents rises.Na kama currents ikiongezeka basi kuna hatari ya transformer kupata moto na kuungua.

Jibu ni kwamba booster inasukwa kwa wire guage aina tofauti kulingana na stage za boosting;hapo ndipo inapo kuja kutofautiana na stabilizer ya kawaida.

Hii ina maanisha kwamba guage wire ya step up stage ya 115V to 230 itakuwa kubwa zaidi ya ile ya 190V to 230V,kwani wakati umeme umeshuka hadi 115 load ile ile itakua inadrain current nyingi due to the decrease of Voltage.

in Transformer, when voltage increases then current decrease because power remains constant…both side power is P=VI
By Ohm’s Law, Current (I) is directly proportional to the Voltage (V) if Resistance (R) and Temperature remain same.
I = V/R…..or…R=V/I…..or……V=IR.

According to P=VI…or…I=P/V….or …V=P/I,….. It says that Current inversely proportional to the voltage if power remain same.
as we know that in Transformer, If power remain same, and voltage increase, then current decreases in Step Up Transformer. also Voltage decreases when current increases as in Step Down Transformer.

Kwahiyo kama watu wote wamewasha kila kitu na voltage ya line ikashuka let say to 150Voltage out of 230V bado booster itaweza kuboost voltage na kuendelea kusukuma load ile ile bila kuteteleka kwa sababu itakuwa imebadilisha stage ambayo ina-surport such kind of current.

Booster nazo suka mimi zinaanzia ku-boost umeme kuanzia 110V to 230. with the load maximum of 15kva;and they are completely automatic to theire outputs.


Kama tatizo la kuflactuate linatokana na power plants,hilo ni tatizo dogo ambalo linatatuliwa kilahisi hata na stabilizer ya kawaida because variation of current during such falactuation is very minimal.


Noted boss, i hope maswali tuliyokuuliza kwenye hii thread yatakuongezea wateja wa bidhaa zako.
 
Nami nikupongeze transistor kwa jinsi unavyionekana umeiva kwenye fani yako , wakati nasoma maswali uliyoulizwa na wataalamu wenzako kisha ukayajibu bila kubabaika halafu na wao wanaridhika hapo ndipo nikapata uhakika kwamba uko vizuri . Utapata Wateja kwa kujinadi vizuri kama ulivifanya
 
Back
Top Bottom