Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Katika design mbalimbali ambazo nimekuwa nilizifanya katika kukabiliana na tatizo la umeme mdogo katika nyumba zetu,Ambapo kwanza nilianza na design ya COUPLELING nikaja na PUSH and PULL na sasa nimekuja na mfumo wa SINGLE PHASE to THREE PHASE BOOSTER
Hii ni aina nyingine ya Voltage Booster,ikiwa na kazi ya kuongeza umeme maeneo yenye umeme mdogo.
Mashine hii baada ya kuukuza umeme inautoa nje katika phase tatu,hii inasaidia kupunguza heavy switching process,pamoja na kupunguza Heat kwasababu power output yake inagawanywa kwa 3.Mfano kama tunahitaji 12kv inamaanisha kila phase itakuwa na 4Kv
Mashine yenyewe ni hii hapa

Pamoja na mifumo mingine ya kuifanya iweze ku-boost umeme automatic,hii ni moja ya saketi ya mfumo wake wa Transformer ambao ndio unabadili single phase iwe three phase.

Attachments
Last edited: