But of course dear...mucho!!!!
mimisa ujue stevoh kachanganyikiwa nae.. Zion Daughter alimuaga anaenda kwao mara moja.. Hajarejea mpaka sasa..

Nalima baba..Si unajua msimu wa mvua ndo huu..Usiwe na shaka nikirudi nitakuletea zawadi