Badiliko la Manoah Kitabia..

Badiliko la Manoah Kitabia..

unadiskasi ma nini hapa? Ujue ujue mie nakuangalia tuuuuuu.................

love u ya kizamani zamani for you




Ndugu wana CC..
napenda kuchukua nafasi hii,kuwaweka wazi kua mimi mimisa sihusiki na mabadiliko ya kitabia na mwenendo wa zilipendwa wangu manoah..
umu ndani kuna minong'ono minong'ono inayonihusisha na tabia shitukizi za my x huyu..na kunitaja taja kua nahusika kwa namna moja ama nyingne..nazipinga kwa moyo wangu wote,akili zangu zote,na kwa matendo yangu yote. Bishanga ..ukwe hauishagi nasikia..napenda ujue kua mm sijahusika na mabadiliko ya mwanao..
copy😡stevoh Paloma sosoliso Kaizer na Mentor mwayaona haya?,
Bishanga, Baba V..na wengine wote
 
ila sijielewi elewi bado... naomba unisaidie kunielekeza njia.. Arushaone yupo wapi?

Alikamatwa na Liberatus Sabas wakati anasafirisha ule mzigo wa gunia 18....yupo ndani
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom