Badiliko la Manoah Kitabia..

Badiliko la Manoah Kitabia..

manoah anapitia kipindi kigumu tumuombeeni wote..Matatizo ya kibuti alichopata toka kwa mimisa (japo anakana) si madogo kama mnavyofikiria.Kama sister cousin wake natoa wito kwa wana chitchat tujitahidi kumfariji huyu kijana.
cc Bishanga mimisa

yani tokea umeaga unaenda kwa wakwe zako haujarudi unataka mie niishije...
 
Last edited by a moderator:
nitonye...sidhan kama penzi ni sababu..ila yy ndo anajua kinachomsumbua..
 
Last edited by a moderator:
Mentor mimi na ww tunaaminiana sn bestito..tatzo uyu stevoh..anaanza umbea umbea
 
Last edited by a moderator:
stevoh..unajihangaisha bure...mambo ya Mentor na familia yake ni mazur tu..wala siwez inglia..
 
Last edited by a moderator:
amu...nisichotaka mie ni lawama juu yangu..aspocoment ni sawa..ila ataisoma msg..ata kimyakimya
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom