Badili mkao wa kitanda chumbani

Makubwa haya[emoji23] [emoji23]
 
[emoji15] [emoji3] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Hivi mkuu na haya mapaka yanayolia dirishani kwangu kama watu dawa yao ni nini?

Maana inanibidi nikeshe JF saa hizi ili shemeji yako awe na amani maana tuna kichanga ana hofu kubwa na hizi sauti za paka watu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] mwaga chumvi na ndimu eneo husika kisha nipe mrejesho, unaweza kufanya hivyo hata muda huu hata kama huna ndimu lakini dawa ya mboga hukosi
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] mwaga chumvi na ndimu eneo husika kisha nipe mrejesho, unaweza kufanya hivyo hata muda huu hata kama huna ndimu lakini dawa ya mboga hukosi
Yani unamwaga nje ya dirisha? Na hiyo ndimu nzima nzima?
 
Mkubwa wa jiko nimeshamwaga ila naona walishasepa, hata dogo saa hizi kaamka yuko macho tunacheza tu kitandani.
Chukua majimaji ya ndimu mpake kwa kidole kwenye paji la uso kifuani tumboni na kwenye nyayo
 
Chukua majimaji ya ndimu mpake kwa kidole kwenye paji la uso kifuani tumboni na kwenye nyayo
Kubadili uelekeo wa kitanda kwa wengine kama mimi ni ngumu. Kwanza siwezi kuelekeza kichwa upande wenye dirisha.
Chumba changu kina madirisha mawili na mlango hii maana ya upande mmoja una dirisha,upande mmojs una dirisha lingine upande mwingine una mlango. Unabaki upande mmoja ukuta tupu huo ndio uelekeo wa kichwa changu na siwezi kubadili.
 
Nilijua tu huu uzi lazima uwe unahusiana na nguvu za giza hiv ww mtoa maaada ni mchawi?????
 
Kama haikuletei shida hakuna tatizo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…