Badili mkao wa kitanda chumbani

 

Kwa hiyo chumba cha kulala kikiwa duara haya mambo unayosema hayapo? Nikilala sebureni je, yatakuwepo? Mimi naona haya mambo yana-exist kwenye mind yako na namna ya kuyafahamu si njia ya scientific research inayofahamika.
 
Mshana ni moja ya koo maskini na ya kishirikina kule upareni...

Sitashangaa kusikia huyu jamaa anawapiga fix mpaka wabunge na mawaziri na anawalambia pesa zao
 
View attachment 368955View attachment 368956Kama huvijui hivi vitu uliza upewe elimu au ulidhani nimetunga tu kichwani mwangu? Kila niwekacho hapa nimejiridhisha na uhalisia wake...siandiki kufurahisha genge ndugu yangu
Uhalisia ni upi sasa hapo? Kisa tu michoro na maneno yaloandikwa in english kunatosha kutufanya tuamini umefanya tafiti na kwamba tukubaliane na ramli zako? Kisa imeandikwa kwa kiingereza na michoro yake...

Hayo unayotueleza ni kuwajengea tu watu wa Mungu hofu unnecessarily!

Kwa wale wakirsto, damu ya mwana kondoo wa Mungu (Yesu Kristo) yatosha. Weka kitanda chako kona yoyote, elekeza kokote utakako lala kwa amani yote ya Bwana Yesu na hutopata usumbufu wowote!

Hayo mengine tuwaachie wapagani na uchawi wao...

Ps: hivi majuzi tu ulikuwa unachambua somo moja zuri na zito la "Malango", ulisema mwenyewe umeachana na haya Mambo lkn sasa Umerudi tena kuwatia watu wa Mungu hofu na imani za ajabu ajabu!

Acha kuwatia watu wa Mungu hofu na usumbufu usio wa lazma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…