Nyingine hii: I refuse to stay kama parcel kwenye maisha ya mtu. Unahitaji a very good reason not to accommodate my dreams kwenye maisha yetu ya pamoja. Just like you, I have had dreams since before I was able to walk, dreams that made me smile and my parents wondered! Hapo kwenye ku-agree ku-disagaree ndo umuhimu unaingia, kuwa hata kama unaamini its not worth it, ukashindwa kunishawishi, let me go for it na nikikwama we will share the experience. You are also free to do the same, and when you fall, my shoulder is here. If you succeed, tuko pamoja.
Beijing hii, ngoja moskwito atoke kubeba box, jasho lote atatuachia hapa,kha!
Usinichoke mwenzio ndo kwanza umeanza kunifundisha. Basi UREMBO ntatafuta jumamosi, mafuta napaka kama dozi angalau mara mbili kwa siku.
Tarakimu nimeshachora mpaka nne. . . sasa uniambie ujuzi huo unatumika wapi na vipi!!
Sikuchoki wangu.
Kumbe mwenzangu umepata na ujuzi,mie niko katika process ya kukuvika urembo tu,kwani ulipochora moja mpaka hapo kwenye nne kwa kutumia hiko kivishwa urembo uliona au kupata ujuzi gani mwenzetu ambao huko nyuma hukua nao?hii itanisaidia na jopo langu kujipanga vizuri zaidi siku za usoni kukushughulikia wewe mshkaji wetu
HA namba 1 tuko pamoja. . .Lizzy mama...nipo too conservative na nisiyebadilika kwa jambo naloliamini (ambacho si kitu kizuri kimahusiano)...nasimamia sana kanuni kiasi kwamba najikwaza mwenyewe(mfano mnaelekea somewhere of which mlishapanga ila hadi time ya kuondoka ndo kwanza mwenzio anajipara)...systematic na pactual of which ni ngumu sana ama niseme ni mateso kwa upande mwinginei(whenever someone amenipromise five mins sioni sababu ya kumpa 10 mins)...short tempered na nisiyetaka mzaha though mazingira yalikua yanaruhusu...Bila kuathiri matumizi ya jina "Prof" naweza kudeclare kwamba sitofautiani na hawa dude kitabia...niko complex somehow na frankly km navyokusoma ndivyo ulivyo mkuu Lizzy tukiingia kwenye domestic agreement tutaachana kwa kipindi kisichozidi 48 hrs
Anyway time will tell...ni wangapi tunawajua walikua wagumu km jiwe enzi zao lakini baada ya kuingia kwenye domestic agreement wameufyata utadhani si wao...
1. Jitu limekuja kaunta linakukuta unakunywa Tusker Malt yako taratibu, afu na lenyewe linaagiza yake afu linamwambia akaunta "Hii bia atalipia ODM"......... Pumbaf kabisa.
2. Umechukua kimwana chako ushalipia room yenye godoro la comfy, unamwambia kimwana twenzetu tukaunganishe vimwaga mkojo vyetu mara unajibiwa oh sorry, cha kwangu kiko kwenye emergency leave.... damn it!
3. Unaenda kanisani kupunguza zambi zako basi padre/mchungaji ye anazungumzia umuhimu wa kumtolea Bwana sadaka tuuuuuu..... shit!
4. Umemwaga yuziful post kama hii, watu wanaipenda afu wanacheeka lakini wanasahau kuitendea haki ya kuigongea kale ka chakula ka LIKE..... manina!

sipendi hii tabia,mtu mmekwazana kidogo anakunyutia hapigi wala hapokei simu ati anailiwaza hasira yake..yaani huwa nataka kupasuka aiseee
Ahaaa..... kulaaleki!Hahahahaah. . . babu ushalewa asubuhi hii?
Maana hapa tunaongelea mahusiano kati ya bibi na babu na sio kati ya babu na Eliza muuzaji wa Bar, babu na mshkaji anaependa ofa au mtumishi wa Mungu.
Hebui rudi kule kanigongee kabla sijadiliti nlokugongea.....kwanzia leo sikuiti babu,sijawai kuona mbabu anayependa rushwa ya like kama wewe.we utakuwa anko
Which bad habits do you HAVE/HATE when it comes to relationships?
Mine:
1. Naweza kuonekana sijali sana kwa kumpa mtu uhuru wake na kutomfuatilia kama mtoto.
2. Ni ngumu kuomba zile samahani za 'kulazimishwa' kosa kafanya yeye samahani anaitaka kwangu.
3. Napenda usawa linapokuja swala la kutendeana mazuri/kuheshimiana n.k
Na hii ni bad habit kutegemeana na nyakati maana nimegundua kiasi flani cha watu hawakubaliani na hilo. . wao wanataka kuheshimiwa ilhali hawawaheshimu wenzao n.k
4. Mkorofi, kwa wale wanaopenda kuendesha wenzao.
5. Mbishi, kwa wale wasiopenda majadiliano.
6. Kiburi
7. Sina UVUMILIVU kwa kiasi kile ambacho wengi wanataka/pendelea.
Nnazochukia:
1. Nachukia mwanaume kuwa insecure.It creates a lot of unnecessary tension.
2. Nachukia mtu anapokumbatia simu yake japo hata akiiacha sitohangaika nayo.
3. Nachukia mtu kudanganya HASWA vitu ambavyo vinaonekana kabisa sio vyalazima.
4. Nachukia mtu kutokua na shukrani na kuchukulia kwamba kwa kuwa na mwenzi wake anamfanyia favor.
5. Nachukia mtu kuchukua mambo ya ndani (mahusiano yao ) na kuyapeleka nje. .iwe mabaya ya sebuleni au mazuri ya chumbani.
6. Nachukia mtu kutomwamini mwenzake bila sababu yoyote ile.
7. Nachukia mtu anapotaka maelezo ya kitu fulani alafu anayakataa akipewa, kwasababu sicho alichotaka kusikia.
8. Nachukia mtu kumtumia mwenzake kifedha/kimwili/kihisia huku akimuaminisha kwamba anampenda.
9. Nachukia mtu kumwambia mwenzake "NAKUPENDA" wakati hamaanishi.
10. Nachukia mtu kumtisha mwenzake na "TUACHANE" kila siku.
11. Nachukia mtu kumnyanyasa mwenzake kwakua tu anajua anampenda.
12. Nachukia mtu kuwa mbinafsi kupitiliza kuhusu mahitaji yake bila kujali mahitaji ya mwenzake. Mf sex. . . mmoja anataka tu na akikosa analalamika bila kujali kwamba mwenzake anaweza akawa hayuko vizuri, au mmoja anakataa bila sababu ya msingi bila kujali kwamba mwenzake anahitaji.
13. Nachukia mtu kuwa mlalamishi kwa kila kitu, kila wakati.
. . . . . . . .
'By Asprin'
Ahaaa..... kulaaleki!
1. Nimerudi home baada ya kutandika Tusker Malt za kutosha na makongoro, unarudi home "unalazimishwa" utafune na kumeza wali wa nazi na kibua...... damn!
2. Unaangalia Liverpool Vs Man U wakati huo Liver wanaongoza afu ndo wanazidi kutesa watu, TV linazimwa ghafla unaambiwa "tunasali tukalale" shiiit!
3. Unadamka asubuhi ili uwahi kwa mkoloni, ukiwa ushatoa angalizo tangu jana yake kuwa utawahi kuondoka. Ushawasha kibajaji chako bibie ndo kwaaaanza anapaka wanja.....nyambaf!
4. Unalazimishwa kwenda kwenye sherehe ya kazini kwa bibiye, we unagoma afu ye hajui kabisa kuwa unakwepa kwenda kung'ong'wa na wanaoflirt naye, anakukomalia tu.... manina!

hahahahEnheee na zako ni zipi babu? Au we huna?