Bad girls ARE SEXY!

Nlikuwa napita tu nikataka nisiseme neno! Nlipofika mbele kidogo nkakumbuka nina swali! Kungwi embu tujuze na wale wanaofahamu huyu mumewe Lizzy afu anamtumis text za kiuchokozi naye ahudumiwe?
 
Imekaa vzr! Lizzy nyuzi zk huwa zinanigusa sn. Hongera, ck moja nitakuomba uwe mwl. wangu
 
Nlikuwa napita tu nikataka nisiseme neno! Nlipofika mbele kidogo nkakumbuka nina swali! Kungwi embu tujuze na wale wanaofahamu huyu mumewe Lizzy afu anamtumis text za kiuchokozi naye ahudumiwe?
Hhhmm ahudumiwe na nani tena EM?
 
Dah Gerrard huyo kwenye avatar ndo shemeji nini! Inaelekea unampenda sana! Msalimie jamaa yangu
Ha ha ha Mkuu usije ukaniibia bureeeee... Any way nitamwambia kuna jamaa fulani anakusalimia sana ingawa ni kweli nampenda sana. Hata hivyo nimefanya kila namna mpaka akakutana na ujumbe huu wa Kungwi wetu Lizzy.
 
Weee. . . akiufanyia kazi usikose kurudisha feedback.
 
Hapa hapa live... feedback itapatikana. Ngoja nifanye research weekend hii kama kuna mambo mapya, japo kwa mbali nimeanza kuhisi somesing new!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom