Bad girls ARE SEXY!

Bad girls ARE SEXY!

Yeah yeah I like it better when she is biting her nails and giving me that "malicious" look which says "Come n get me u ......)

Or simply saying it in a nasty way while biting her lips....
 
wala simpeleki chaka....bwana harusi kabla hajala kombe,anamchotea mkewe kwanza,so nitakachochotewa nitakula na lizzy wangu

Naima,

Usisahau kunialika, kanzu yangu naitafuta kuanzia kesho friday naipiga pasi saafi na kibaraghashia. Nitakuja na kikopo kizima kimejaa sh mia mia za coins za kutupia mwanzo mwisho.
 
Yeah yeah I like it better when she is biting her nails and giving me that "malicious" look which says "Come n get me u ......)

Or simply saying it in a nasty way while biting her lips....

Ohhh yeahh. . nilisahau kuongelea lips.
Biting and licking 'em lips can be pretty Sexy!!
 
Matokeo muhimu ehhh!!

Fazaa unaweza ukamsaidia mwenzako kama unaona ana aibu/heshima mpaka sehemu ambazo hatakiwi kuwa nazo. Hivi vitu vinafundishika. . . ni kiasi cha wewe tu kuwa mwalimu wake.
Sawa sawa kwa hio wewe kila siku unamtekenya dume wako au...mana huna aibu kabisa ukiwa chumbani au sio.

Navyo fahamu wanawake wengine midume yao ndo inawahi kuwatekenya, afu hao wanawake unao wazungumzia sio wote ukadhani wanaona aibu, wengine wamezidiwa na mipigo...Kuna wanaume wameisha kula asali za mapori ya igalula na kipala pala mpaa inyoga, na vitunguu vya sekenke na wale diki diki wa mlima sekenke, yani hangoji mwanamke amtekenye.

Yeye asione paja tu la mwanamke hata liko ndani ya nguo basi lazima alipapase, sa mwanamke aliolewa na mwanaume namna hio sidhani kama anashida tena ya haya maneno, mana kisha zidiwa anatufata njia yakuipoza hata siku moja kwa week, mana wengine kila siku wanaume zao wananin'ginia tu juu ya kiuno break pale kuna red light tu:biggrin:

FYI...kuna wanawake wengine waume zao wanakopa kabisa na mipigo ya kesho, sababu wanawake wanazidiwa anasema kachoka na dume linabidi kubembeleza likopwe na cha kesho, dume anasema atamuacha apumzike kesho...ikifika siku ya pili anasema anataka kukopa cha kesho kutwa....wengine mpaa wamefikishwa mahakamani wake zao wanadai talaka kwa mashambulizi makali.....wewe una bahati kweli kweli kuolewa na dume mpaa ulipapase, hongera sana :biggrin:
 
Nimeshaona mara kwa mara watu wakiuliza kama mwanamke anaweza akawa wa kwanza kumjulisha mwenzake kwamba anamhitaji kimwili, na ni namna gani anaweza kufanya hivyo.

Kwa mwanamke anaejiamini na kujua nini anataka kwa wakati gani inawezekana sana. Na njia za kumjulisha mhusika ziko kuu tatu (nnazofahamu mimi anyway).
1.Maneno - Dirty talk inahamasisha sana.
2.Mazingira.
3.Matendo.

1.Maneno.
Baadhi ya wanaume (siwezi kusema wote) wanapenda mwanamke ambae heshima inaishia sebuleni na sio inaingizwa mpaka chumbani. Mkishavuka kile kizingiti, mkafunga mlango na kubaki nyie wawili tu you have to be able to whisper something dirty/nasty in your mans ear and turn in to a wild cat when you are at it.

Kwa wale waoga a.k.a 'good girls' dirty talk can help spice up your sex life, it's a good thing. Dirty talk does not make you a bad person, you'll still be a good girl outside your bedroom!!. . it's just something that makes you a bad girl to your man and MUCH more desirable at times.

Kwahiyo maneno kama "nakutamani, nakutaka, natamani/nataka u(ni). . . . . . au ni(ku). . . . . ." kwa text,e-mail ama kwa sauti nyororo na ya chini yanaweza yakamfanya mtu akarudi nyumbani mapema kuliko kawaida yake ama akaweka remote chini na kukupa wewe 'attention' badala ya TV ,gazeti au kitabu.

Na uzuri wa hii ni kwamba waweza kumwandaa mtu MAPEMA kabisa, tangu hata asubuhi.

2. Mazingira.
Hii inahusu sana vitu vinavyoonekana, harufu pia kusikika.

Chumba/nyumba kuwa imepambwa kwa namna fulani (mishumaa, maua, rangi ya mashuka), music wa aina fulani au marashi vinaweza vikamjulisha mhusika 'what's going to happen' as soon as he walks through the door bila ya bibie kutoa neno. Mara moja moja, haswa zile siku mnazopata bahati ya kubaki wawili tu nyumbani badala ya kila mmoja kuwa busy na laptop/simu/TV yake na kuACT kama vile hamna kitu mnachoweza kufanya kwa pamoja, bibie unaweza ukaufanya usiku uwe wa kukumbukwa.

. . Cook his favorate meal. . .
. . Clean up the place. . pendezesha mazingira. Tandika mashuka masafi, mazuri na yenye kuvutia. Nyunyuzia marashi anayopenda sana iwe perfume ama udi.
. . Clean yourself up and dress the part.
Pendeza. . mfanye afurahie kukuangali kwanzia juu mpaka chini.
Nukia vizuri atamani kusogea na kuwa karibu na wewe.

3. Matendo.
Hii nadhani ndio the sexiest of them all.

Kwanza imekaa kiuchokozi SANA na inahusu kuwa mwanamke zaidi. Ulaini, utaratibu, udekaji na uongozi juu.

Unaweza ukaanza kwa kuvaa kichokozi. . kwa miili yetu ya kiAfrika isiyochukiza ndani ya kanga hata iwe mikubwa vipi Khanga moja should be and 'is' the best alternative in my opinion. Chagua ile laini, jitupie, onyesha guu na upaja uliojaaliwa atakutaka mwenyewe. Kwa wale wenye miili inayoruhusu (you don't wanna wear anything you can't pull off. . so kama umejazia sana let be of the tight and too revealing stuff). . put on a sexy lingerie and show it off.

Tumia macho yako. . badala ya kumkata jicho mpaka aogope, legeza macho umvutie.
Sauti yako iwe laini ukiongea. .tumia sauti ya chini.
Kiujumla kaa kikaribishaji zaidi, tumia maringo yako ya kike, sauti ,maneno na muonekano wa kudeka.
Ukimgusa (utajua mwenyewe unamgusa wapi) usitumie nguvu. Kua mtaratibu na laini. . . kama ni ukali utaurudia asubuhi.
Ukiona yuko puzzled au hana speed ile unayotaka wewe take him by the hand and guide him.

MWANAMKE ANAWEZA, HAHITAJI KUWEZESHWA maana uanamke sio kilema.

Kina mama mnaweza mkiwezeshwa Lizzy! Ndo sababu ya kuwa na kitu kama vitu maalumu kule mjengoni!
 
Basi wengine tuna gundu maana hatujawahi kutana na hivo vizingiti! Lizzy can i still ur post? I need to print it in my heart!
 
Naam hata Mzee Yusuf kaimba : Ukitekenywa... "Tekenyeka"...UIkichombezwa.."Chombezeka"!!!
 
Mh! ama kweli unajua kuchokonoa vijimambo..........................Maana hizo zote zimelenga kwenye process ya kuelekea kunako utukufu. kuna aina ya vivazi ya mama Ngina, Duh! sijapigiwa nishapokea...............LOL
 
Mh! ama kweli unajua kuchokonoa vijimambo..........................Maana hizo zote zimelenga kwenye process ya kuelekea kunako utukufu. kuna aina ya vivazi ya mama Ngina, Duh! sijapigiwa nishapokea...............LOL
Hahahaha. . Mzee Mtambuzi kumbe na wewe mama Ngina anakutendea haki ehhh?Safi kabisa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom