Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Bacteria mmoja alifungiwa katika kopo lenye mfuniko.Kila baada ya dakika moja,bacteria hujigawa vipande viwili na kuwa bacteria wawili wapya ambao nao huendelea kujigawa.Ilipofika saa 12:00,kopo lilikuwa limejaa bacteria mpaka juu kabisa.Je ni muda gani(saa ngapi) hawa bacteria walikuwa nusu ya ujazo wa kopo?