Kilongwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 423
- 115
by Kilongwe on Afroit.com » 27 Jan 2010 22:30
Wakuu nadhani wakati umefika tuongeze iteraction kati yetu wana ICT,sasa kwa leo katika pitapita zangu nimekutana nahii mada ambayo imezua msuguano kidogo kwa watu wengi mno nikiwemo mmoja wapo kwani kuna watu wanataka kunibadili ni nini nilikuwa naamini ni right kitech,
Swali husika ni kuwa kuna tofauti gani kati ya backup port na Alternate port kwenye STP??
Binafsi bado ninalala kwenye msimamao kuwa Backup port ni port ambayo Switch hutumia pindi Root port(RP) ikiwa down na Alternate Port ni port ambayo Switch hutumia kwenye RSTP au Uplink fast ili kusababbisha coverage ya haraka endapo Designated port ikiwa haipatikani,Switch hujua hili baada ya kumiss baadhi ya BPDU na kuamini kuwa imeshapoteza connection kwenda kwenye Root hivyo Alternative port hutumika provided zote zipo kwenye the same segmant.Hapa nina maana blocking port ndio itakayokuwa alternate port. na si vinginevyo.Hivyo backup port na root port zote lengo lake ni kufikia Root Bridge lakini zipo kwenye segment tofauti.Moja direct connectected to Root bridge(Backup) na nyingine ni Conected to non root(Alternative)
Tatizo linakuja kuwa Scott moja ya walimu wanaoaminikana Cisco wamekuja anadai kuwa,Backup port ni port ambayo Root bridge hutumia endapo moja kati ya designated imefail na yeye akisema Backup and Alternate ni kitu kimoja ila tofauti ni lugha tu.
Huku tukikumbuka kuwa Uplinkfast ni standard ya Cisco lakini RSTP ni Engineering Standard,sasa hapa inakuwaje??? Michango wakuu
Source: www.afroit.com