Back to tanganyika movement


LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,084
Likes
4,062
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,084 4,062 280
Kama Nyerere asingeenda kuwakomboa ndugu zetu wanyamwezi, wamanyema, wadigo na wamakonde walio kuwa wakiishi kama watumwa chini ya utawala wa kisultani uliokuwa ukitawala katika visiwa vilivyopo karibu na Pwani ya mashariki ya nchi ya Tanganyika vijulikanavyo kama Zanzibar. Leo hii wanyamwezi/wamakonde/wamanyema hawa wangekuwa wanaendesha harakati zinazo itwa BACK TO TANGANYIKA MOVEMENT. Wangesema kuliko kuendelea kupata mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali ya kisultani ni bora warejee Tanganyika kule wanapotoka babu zao. ...
ZANZIBAR sio nchi ni mkoa.
UZANZIBARI sio utaifa ni UKAAZI.

Nje ya muungano wala hakuna cha sisi waunguja nyinyi wapemba. Nje ya muungano ni SISI WAARABU (MASULTANI/ FIRST CLASS CITIZENS / RULLING CLASS ) na NYINYI WEUSI ( TABAKA TAWALIWA )a.k.a MAGOLO/WANYAMWEZI/WAMANYEMA/WAMAKONDE n.k.

Zanzibar Flag...............

YANGA FC FLAG.


LOH! KUMBE KUWA NA BENDERA SIO ISHU, HATA YANGA FC WANA BENDERA YAO.
 

Forum statistics

Threads 1,274,979
Members 490,865
Posts 30,529,417