Back the memory lane

Hii inanikumbusha mzee wangu alikua na radio moja inaitwa NATIONAL PANASONIC memory Q.yaani iyo radio ilikua ukitaka ugombane na mzee nenda kaichukue chumbani kwake aje aikute sebuleni.patachimbika siku iyo.


Jr
 

Hii ni Koroboi....nimeitumia sana kwenye mtihani WA darasa la nne na darasa la saba.
Vijana WA Leo umeme ukikatwa dk. 5 JPM na Tanesco watalaaniwa na kutukanwa mpaka basi.

Ndo maana wengine tuko bitter na maisha especially mtu akitaka kukuletea upuuzi. Maana tulikotoka na kuchomoka ni Mungu tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…