Back the memory lane

buahahaha ..marufuku kujiita kijana.huyo muhindi anafanana na Christiano Ronaldo..isije ikawa ndo mzee Ronaldo mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Reactions: Qwy
Ndiyo.. Land Rover inazo low range na high range gear lever..
Katika hizo model za mwanzo zilikua ni gear lever mbili tofauti. Baadae ndy zikawa zapatikana kwenye gear lever moja tu (4WD)….

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo moja(low gear) tuliita "gia ya mchanga".
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…