[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kitu kilikuwa kinasumbua kama mkanda kujinasa na ukute ni best collection yako utahangaika kurekebisha mkanda
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] zikinunuliwa betri mpya ni full muziki mpaka zianze kukoroma ndio mnafungulia upande wa redio
Hii ilikua na sindano yake Fulani ya kuchokonolea
Land rover siries 2
Imenasa, ikikatika unaunga na selotape, kwa upande Wa chini lkn
Weka na ya Cowboy
"Stovu", tuliliita jiko la stovu.Mshana Jr Umenikumbusha 70s. Hii ilikuwa inaitwa mchina. [emoji12][emoji38][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
304 ndiyo ya zamani sana ikaja 404, hiyo 504(gurue) zilikuja zikawa zinakamtwa eti hawataki magari ya mitumba(used),kipindi hicho Sokoine era na ndiyo zikaja 604.Huyu pia enzi hizo ili uonekane dereva mzoefu na maarufu ni lazima ujiite Shakeland .
Na hizo gari ndo zilikuwa zenyewe. Ukipaki 304 na hii hupati abiria .
Kiboko yake ilikuwa 504 au 604
Sent using Jamii Forums mobile app
Au na senti moja ya kitobo pia?
Ndiyo chapa yenyewe [emoji1787]Au na senti moja ya kitobo pia?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yeah, chapa. Nilishawahi kuiona japo haikuwa ikitumika.
Hapa ni Mzee Kaunda tu bado tunaye. Hawa walikuwa wazalendo wasiohitaji kusifiwa [emoji850]
Hapa napo sijaona BIC ya kuzungushia kanda [emoji23][emoji1787]. Na betri za kuanika na kisha kuunga [emoji12]