ha haaaaaa, babu unataka short cut? na uzee huu utaweza? shauri yako....... naku-warn tu
ha haaaaaaa, umeniangalia vibaya.......Kuna raha huko wakati jamaa anafidia Gharama za harusi wewe unacheza nini uliza!!Nimemuoa FP utadhani bodaboda iliyo zeeka!
unaitwa kujibu mashtaka, si ulisema nimegandana kule TMK? hizo habari ulizipata wapi?
khaaaa inabidi nichukue course ya utapeli usiku mzima mpaka akinai lol kwiwkiwkwwiwkwiwkwi wewe kaka yangu wewe lol KakaKiiza ni tajiri mbuzi la huko tegeta huko lisije kuja niua mjini hapa bure mie naogopa tae.Tulia nivea maisha ujanja.....hawa walioumizwa kimapenzi kama KakaKiiza na mtu chake na TANMO huwa wanaingia kichwa kichwa....we chukua kahouse kule Njiro kenye jina lako then unama za uso....tena akitaka tunda mwambie akikujengea tu kahausi unampa usiku mzima hadi akinai mwenyewe then akikupatia tu unamwambia ale kona kama Bishanga alivyofanywa kwa The secretary
Kuna raha huko wakati jamaa anafidia Gharama za harusi wewe unacheza nini uliza!!Nimemuoa FP utadhani bodaboda iliyo zeeka!
ha haaaaaaaaa, kweli babu umepania, lol! all the best......Acha kunitisha bwana @FP,
Why not.....mbone wewe umeweza kufichwa muda wote huo na kurudi bila majeraha au kilema?
Wewe uweze una nini na sisi tushindwe tuna nini??
Litakalokuwa na liwe.....bora inzi afie kwenye site!!
Babu DC!!
tena fasta kabla sijakuitia watuHahaaaaaaa.............. subiri nije na ushahidi taslimu
achana na KakaKiiza, hajampata huyo wa kwenda naye honeymoon.duh... masikini pole yake... kumbe inakuwaga hivo... lol kumbe zile mbwembee zote maharusini zinaoshiaga honeymoon???? kwa stail hii ntaja mshawishi mtarajiwa wangu tusiiende honeymoon!!!!!!
Hhehheeeee sawa niveakhaaaa inabidi nichukue course ya utapeli usiku mzima mpaka akinai lol kwiwkiwkwwiwkwiwkwi wewe kaka yangu wewe lol KakaKiiza ni tajiri mbuzi la huko tegeta huko lisije kuja niua mjini hapa bure mie naogopa tae.
ha haaaaaaaaa, kweli babu umepania, lol! all the best......
ni kweli kabisa huko ukienda hutatamani kurudi kabisaaaaaaaaaaaa. yaani nilikuwa natamani kuendelea kuwa huko huko, ila ndo hivyo tena. tena babu huko kama unaenda na wako wa moyoni yaani hata kama ulikuwa na jeraha utarudi umepona kabisaaaaaa, ni starehe ya ajabu.
Dalali wa mapenzi anaangalia mshiko!!ulilianzisha wewe hili sasa unakimbia, lol! mbaya wewe.....
Asante sana rafiki yangu mwaJ
yaani ningekuwepo mimi ndo ningekimbia kabla ya muda, naogopaje kusutwa..... maana nimeona alivyowageuzia kibao si mchezo......mlitokaje mbio sasa!
sawa babu nimeacha :shut-mouth:Naomba usishie hapo wewe dada @FP,
Unajua kuwa umero unatesa sana?
Tuache tuendelee kusota ili usituongezee uchungu!!
Babu DC!!
ha haaaaaaa, mwl yule...... mtamsuta mwl mtaweza? kumbe bora sikuwepo maana hali yangu naona ingekuwa mbaya mpaka leo.Wee! Tutoke mbio tuchekwe? Tulijikausha kausha hivyo hivyo huku tunasaidiwa na Nicas Mtei. Si unajua tena? Ile mtu umedundwa kila mtu anaona kuwa uko hoi, lakini unajidai "jamani nishikeni ntaua". Ila uongo mbaya gfsonwin ni kasuku!
..unamfundisha utapeli..?Tulia nivea maisha ujanja.....hawa walioumizwa kimapenzi kama KakaKiiza na mtu chake na TANMO huwa wanaingia kichwa kichwa....we chukua kahouse kule Njiro kenye jina lako then unama za uso....tena akitaka tunda mwambie akikujengea tu kahausi unampa usiku mzima hadi akinai mwenyewe then akikupatia tu unamwambia ale kona kama Bishanga alivyofanywa kwa The secretary