rafiki yangu kwanza pole kwa yaliyokukuta, ila nafurahi nimekuta umerudi maana ningekumissije ningekuwa huku halafu haupo!. Nashukuru kwa kunimiss, nasubiri updates taratibu taratibuwelkam bak FP mzima wewe??? we missed u dearly, lazma honey moon itakuwa imezaa matunda! lol, nilikuwa jela kwa ushirikiano wa viranja wa hili jamvi, but at last nipo mtaani kama kawa, tutajuzana zaidi, karibu tena!
Umeona eeh, babu!
usawa huu ukishikwa shikamana.......... ni uteja kwenda mbele
ha haaaaaa, babu unataka short cut? na uzee huu utaweza? shauri yako....... naku-warn tu
Mdogo wangu charminglady asante sana...........vipi mambo hapa lakini? hakuna anayekusumbua? mume wako C6 hajambo?karibu tena dada mkubwa @FP.....
Maneno ya busara umfanya mtu aeleweke anabusara!hatua moja uanzisha nyingine!!!Ila kaa ukijua mahali penye neema hapakosi fitna utawaona simda mrefu wakianza hoo KakaKiiza yupo na Preta mara Erickb52 alisha sema ni wa mtu chake sasa mimi nimesha sahula tayari kwa kogerea siyo kutia mguu bali na mimi ndani ya maji!!!!Hahahaaaa! Mwenzio KACHOKA NGOMA ZA KITOTO HAZIKESHIIIII!!!!!!!!!!!! Sasa anataka ajaribu MUZIKI YA WAKUBWA!!!!!!! KakaKiiza usijali bana WHEN THE CAT WASHES ITS HANDS IT CAN DINE WITH THE KINGS!!!!!!!!! Sasa wewe jipange tu si unajua KINA CHA BAHARI HAKIPIMWI NA MGUU!!!!!!!!!
Penye nia pana njia!!!!!!
UNAINGIZWA MJINI HIVI HIVI KakaKiiza huyu kaka yangu huyu Erickb52 ameshakula mahari nyingi ilhali keshaniozesha zamani na analijua sasa kazi kwako mjini shule at sikuhizi wanawake ni source of income kama biashara nyingine .shikamoo kaka yangunivea ujue kaamua hivikwakujua utakuwakatika mikono salama au wewe hili unalionaje?advise!
Mdogo wangu charminglady asante sana...........vipi mambo hapa lakini? hakuna anayekusumbua? mume wako C6 hajambo?
Pesa ya Msomali hailiki!Mwenyewe hili analitambua!!Kwetu matejoo!Bibi anakaa unga limited pata jibu!
hehehehehh umenikumbusha kaka kiiza hao watu walinilisha sabuni nikiwa na 3yrs wakanidanganya ni mkate lol kwetu pazr nimepakumbukaPesa ya Msomali hailiki!Mwenyewe hili analitambua!!Kwetu matejoo!Bibi anakaa unga limited pata jibu!