Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #21
ha haaaaaaaaaaaa, ishia hapo hapo rafiki..... asante sana... naamini mupenzi naye analijua hili, lol!Every one likes a charmin gal like you FP !
You are the 1 who havin necessary qualities to b called a Charmin gal !
Charm is somethin you're born with!!
But there's always room for improvement.
Hii misifa am sure will b enough for you.
Au wasemaje niongeze ?
Judgement salama? wewe hukunimiss? yaani nilipokuona pande hizi nikaendelea kukumbuka orodha ya rafiki zangu
Kipipi u mzima?Karibu sana dada,
Japo kuwa hukuniaga!
Safi, Kama upo fresh.Mie mzima kabisa kaka,
Habari ya wewe?
Mamndenyi mamangu mpenzi wa kunizaa!lolFP umetoka tu honey moon na kuja keshea lap top, ina maana bwana harusi kalala fofofooo au ameenda kuangalia mechi za maandalizi ya kombe la dunia?
Mchumba aliyekimbia mahari TANMO na your rival Erickb52 najua mlinimiss saaana, maana nimekuta uzi kabisa wa kunitafuta. Pole ulishapigwa bao, lol! Jamani kwa wale waliodhani mimi ni wale waliogandana kule Temeke ( Mungi et al.) siyo kweli, nilifichwa tu sehemu na mupenzi, na kwa raha nilizokuwa nazo sikuweza kukumbuka kama kuna JF.