ha haaaaaa, "2012 Dunia ni yako, chaguo ni lako"
Haya najua kilichokupata wewe unaona umenawili ila sisi tunaokujua tunaona!Ila mimi simtu mzima najua nini kimehappen ndo ukubwa!!kumbe mlongo wangu umeona eeh! sasa kuna mtu mmoja anaitwa KakaKiiza eti anasema kaniangalia sana kaona nimepungua na nimechoka sana, mi namwangalia tuu.
Usije ukachagua mwenza kama Preta kwa sababu yakulipiza utaingia cha kike na mwishowe ukituma sms ujibiwe hivi!https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/356731-nimekutana-nayo-facebook.htmlNachagua kumwita Mwenza..
Hawapi nilishtuka mapema nikawaachia mkajifanya kuniongelea mbofumbofu humu nikasema ipo siku mtarudi na ngeu chezea mtoto wa daraja mbili au Matejo kwa mama yoyo biashara gongo!!Utamwambia nini??Poleni ndo ukubwa!
Usije ukachagua mwenza kama Preta kwa sababu yakulipiza utaingia cha kike na mwishowe ukituma sms ujibiwe hivi!
chezea mimi wewe? akili za kumwaga hapaKumbe una akili wewe lol!!
Unajitia moyo wakati moyo wako umeiva kwa ghubu!!poyeee mimi lara 1 kajaa namsubiria hapa nakaniambia ananunua wine anakuja step kwa step usimkanyage mwenziyo!!
ha haaaaaaaaa, umeona sasa......yaani komoni tu chali....lol! nina uhakika ulikabidhiwa na toto la kingoni ukasahau kilichokupeleka....au unasemaje mlongo wangu snowhite?Nilitaka kuja mfaranyaki lakini kufika bombambili nikakutana na wazee wa Kingoni wakaniambia "karibu babu karibu babu" huku wanatetemeka (si unajua taito yetu kubwa)...........basi nikapiga mayi (ofcoz komoni) mpaka nikazima.Ila nashukuru niliamka salama ila memory za mfaranyaki zikawa "corrupted" na virus.
Usimsikilize sana snowhite ........huyu mwanamke amekuwa mbea huyo...........balaa!!
ng'ombe nini bwana...... sisi tumeachana kabisa na hayo makitu, hakuna cha ng'ombe wala mnyama yeyote, mambo ni madini tu na madola, lol!Unadharau ng'ombe? ......hebu tema mate chini
Kama hujui thamani ya ng'ombe muulize Jacob Zuma au mfalme Mswati!
umeshanunua kiwanja kinondoni?Nachagua kumwita Mwenza..
heshima yako, najua ukubwa dawa......Haya najua kilichokupata wewe unaona umenawili ila sisi tunaokujua tunaona!Ila mimi simtu mzima najua nini kimehappen ndo ukubwa!!
inamaana anaita gridi ya taifa nyumbani?umeshanunua kiwanja kinondoni?
Unajitia moyo wakati moyo wako umeiva kwa ghubu!!poyeee mimi lara 1 kajaa namsubiria hapa nakaniambia ananunua wine anakuja step kwa step usimkanyage mwenziyo!!
umeshanunua kiwanja kinondoni?
no......... unaweza kunikumbusha kile kisa cha yule nani sijui wa Mwanza? yanaweza kumkuta piainamaana anaita gridi ya taifa nyumbani?
wote na nani? utaresitishwa in pisi peke yako.... si unaona yule mwl bado anadunda tu?Nina shamba kabisa pale. Nina imani litatutosha wote. Lol
Rudi kwenye page ya 8 hivi utaona ila nimepewa angalizo na Erickb52 niwe mwangarifu nisiende kama mamba macho yapo utosini!Dont tell me uko siriaz kwenye Red Mkuu,,,,, Ila ni mpaka Lara 1 aje athibitishe..
Na kama ni kweli basi wewe ni Mkareee :first:
ha haaaaaaaaa, umeona sasa......yaani komoni tu chali....lol! nina uhakika ulikabidhiwa na toto la kingoni ukasahau kilichokupeleka....au unasemaje mlongo wangu snowhite?
Kumbe mbwembwe zote dowezi!wote na nani? utaresitishwa in pisi peke yako.... si unaona yule mwl bado anadunda tu?
umeona eeh!Hapo nisiseme uongo...... mnaweza............ kwanza anaanza kama mashine ya windmill halafu kidogokidogo anaongeza spidi ya feni la mchina..........mwishowe inakuwa kama pangaboi la helikopta.
Basi baiskeli yangu ilikuwa nje akaniambia usiwe na wasi.........kila baada ya dakika 2 ananizungusha na kunibeba hadi juu dirishani halafu ananiambia (with ngoni tone) "umeona baiskeli yako, iko haphap"!!