Back from Honeymoon

bora mlongo wangu :shut-mouth:
haya lete habari za mujini....... zooote zilizotokea wakati nipo chimbo
ah humu bana mi mwenyewe unafikir nilikuwepo kuwepo sana basi!kuna kazi moja inanipelekesha kweli kweli mamii!hapa mpka sasa hivi nipo ofisin kwa mtu animalizie stage fulani kisha niendelee!humumwali hakuna jipya saaana sema tu Natalia ana dollar anataka kugawa cacico mke mwenza walimfanyia mtima nyongo lakini na ye wala hakufanya makosa alijilipuaje pande za shem wetu!nina hakika muda si mrefu itabidi tuanze kubeba ndimu au ukwaju humu
@kogosho kawekwa mtu kati na zombie lake limechoka kushika mapembe huku kina Asprin wanakamua maziwa ,limeamua kufunguka live na linataka ndoaas soon as posibo!na mi nilivo mpana ka gagulo la kisomali nisapendekeza hadi rangi,mabridemaids,sijui wale wa kusindikiza wimbo,tayari nishaomba undugu kwa zombie ili nimpeleke kwa mamake Kongosho na mambo mengne yaendelee
halafu nilisahau kunasiku tulimsuta gfsonwin lakini duh!alitutoaje kamasi ila wee alichemsah mwisho wa siku!
halafu na nini tenaaaaaaaa enhe nimekumbuka naniii yule tena alikuwaga mchumba wako wa zamani yule,ah! sijui alisemaje vile ngoja nikumbuke!
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaa, kweli nimepitwa mlongo wangu. pole na hiyo kazi inayokukamata. Natalia Bado ananyanyasa tu na mzungu wake? ila amepigwa bao na mgombea wa akina BAK BO, sasa sijui ana sura gani huko aliko na wazungu wake! Kongosho bwana, kama namwona alivyokamatika, sasa msururu wake ukiongozwa na mkwe wangu Asprin atamwachia nani? ila afadhali na wengine nao wapate japo kupumua. hiyo harusi sasa mimi mmenipanga wapi? cacico, pole mwaya, duniani huku wabaya ni walio ndani kwako, unakumbuka wimbo wa nibebe wa Rose Mhando? "kumbe ni rafiki yangu tuliyejuana naye sana.... tulikula pamoja, tulikunywa pamoja.... kanisani pamoja, Bwana asifiwe pamoja....kumbe mwenzangu walikusudia kuniangamizaaaaa eeh"
he heeeeeee, mwaJ alinipa huo mchapo wa kutolewa balu na gfsonwin...... kama nawaona vile mlivyokuwa wadogo..... Zinduna mwenyewe mwandaa msuto sijui katimukia wapi? maana sijamsikia kabisaaaaaaaaaaaaa.
Asante mlongo wangu kwa nyepesi nyepesi.
halafu hivi mtani wetu platozoom bado yupo? sijamsikia kabisaaaaa
 
Last edited by a moderator:
hiyo yote tisa!kumi ni kuwa platozoom bana a.k.a yake ni mfukunyuku! yani akinusa tu kuwa wifilove wake anamdanganya!hakulaliki na hakuliki lazima kieleweke!eti hataki ule wimbo wa nani sijui yule wa we nidanganye danganye tuu!hataki anasema aambiwe tu ukweli!sasa nafkiri kuna issue atakuwa ameihisi ndo yupo kwenye upekuzi!atakuja tu humu!umuulize alikuwa wapi na yamemsibu mangapi?
 
Last edited by a moderator:
halafu hivi mtani wetu platozoom bado yupo? sijamsikia kabisaaaaa

Halafu wewee nimekumiss........na nimekutafuta kweli....nimeenda bombambili sijakuona, pitapita lizaboni hakuna mtu....nikapanda baiskeli mpaka Mbinga holaa...........ikabidi niende Mbamba bay huko ndio kabisaa nakutana na washamba wa kingoni wanawaiga wanyasa kuvua samaki.

Hongera kwa haneimuni............nakuona mwepesiiii
 

Me mjanja unafikiri nani anapenda kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Halafu sisi mahari tunalipa kwa ng'ombe (najua utafikiri ni ndugu yako).......halafu mtu alete masikhara nang'oa shingo kabisa!!
 

aminia kaka yangu mimi na wewe tena lol!
 
dah Binamu FP karibu sana nilikumisss, vipi mama mkwe anauliza Honeymoon imejibu??
Binamu acha kutumia typreta mwandiko unaumiza majicho
ha haaaaaa, binamu type writer nimeshaacha kutumia, asante kwa kuniambia hilo.
pole sana kwa kunimiss binamu. mama mkwe mwambie aandae kuja kupokea mapacha wao siku zikifika, lol!
 
ha haaaaaaaaa, nampongeza sana huyo mtani platozoom, hata mimi huo wimbo siutaki kuusikia kabisaaaaaaaa. yaani niambie ukweli kama vipi nisepe.... kwa nini ugandane na ambaye hakupendi?
 
Last edited by a moderator:
nilijua tu mtani lazima unimissss, utakosaje kunimiss wakati mimi ndo natembea na kibobo cha pumzi yako? lol!
yaani ni mwepesiiiiiiiiiiiiii, si utani, lol! ungekuja mfaranyaki mtani, kuna muda muda nilikuwa kule labda ungenibahatisha.
wifi hajambo lakini? maana mlongo wangu snowhite ananiambia upo mawindo ya kufumania, lol!
 
Last edited by a moderator:
Me mjanja unafikiri nani anapenda kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Halafu sisi mahari tunalipa kwa ng'ombe (najua utafikiri ni ndugu yako).......halafu mtu alete masikhara nang'oa shingo kabisa!!
yaani wewe, ng'ombe ndo anakutoa roho? ugonjwa ukipita tu chali.....
huyu wangu mahari kalipishwa dola, gold na silver, yeye akaongezea diamond platinum na Tanzanite lakini wala hajawahi kusungumzia mahari siku zote hizo
 

Nilitaka kuja mfaranyaki lakini kufika bombambili nikakutana na wazee wa Kingoni wakaniambia "karibu babu karibu babu" huku wanatetemeka (si unajua taito yetu kubwa)...........basi nikapiga mayi (ofcoz komoni) mpaka nikazima.Ila nashukuru niliamka salama ila memory za mfaranyaki zikawa "corrupted" na virus.

Usimsikilize sana snowhite ........huyu mwanamke amekuwa mbea huyo...........balaa!!
 
Last edited by a moderator:
yaani wewe, ng'ombe ndo anakutoa roho? ugonjwa ukipita tu chali.....
huyu wangu mahari kalipishwa dola, gold na silver, yeye akaongezea diamond platinum na Tanzanite lakini wala hajawahi kusungumzia mahari siku zote hizo

Unadharau ng'ombe? ......hebu tema mate chini
Kama hujui thamani ya ng'ombe muulize Jacob Zuma au mfalme Mswati!
 
Kaka hamna kitu mbaya kama kupigwa kibuti hazarani kama alivyonifanyia huyu mtu.
Ila Preta si ni wa kwetu sote? alisema hapendi kuona tukimgombania, kila mtu amewekewa zamu yake sema wewe unataka kujimilikisha peke yako.
Hawapi nilishtuka mapema nikawaachia mkajifanya kuniongelea mbofumbofu humu nikasema ipo siku mtarudi na ngeu chezea mtoto wa daraja mbili au Matejo kwa mama yoyo biashara gongo!!Utamwambia nini??Poleni ndo ukubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…