Back from Honeymoon

salamu zimefika. ila jana tulipata wasaa wa kuongea kidogo inaonyesha ulishapigwa kibuti, au hulijui hilo?
Mimi mimiiiiiiiii wa kupigwa kibuti?
Heheheheee FP umekosea atakuwa ni TANMO au mtu chake
Mi sina historia labda itokee niamue kuacha mwenyewe kama nilivyofanya kwako...unakumbuka ulikuwa na wakati mgumu wa kumkataa TANMO ? Kama nisingeamua kumwachia jamaa ungekuwa mikononi mwangu kwa sasa ila baada ya kumwona Kipipi yuko juu sana nkaamua kuepuesha msongamano kwako!
 
Last edited by a moderator:
..mkuu nitake "RADHI"..mie ni Preta tu ndio ananisumbua wengine nikiamua dakika sifuri...hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
you wish!
 
dada mkubwa!kuuliza sio ujing alakini!nahisi kama tabasamu limeongezeka!
kumba makitu yanaongeza jismile enhe! Boflo watu8 et al mwaona dada mkubwa alivo nawir!sa na nyie muwe mnawapa watu honeymoon sio kila siku humo humo tu,kisa oh hiki chumba nimelipa kodi kubwa sana!INAHUUUU!? mwaJ mwenzio naanza kuandika application ya honeymoon hapa!wewe je? Kongosho sijui kama ataipata manake mazombie yakistuka yanakuwaga majeuri hayo!kisa oh yalishafanya pre paid mabembelezo!
 
Last edited by a moderator:

Nakutakia heri application yako ifanikiwe. Mie nilishatuma maombi naona yana mlolongo mreeefu mpaka yapitishwe.
 
kumbe mlongo wangu umeona eeh! sasa kuna mtu mmoja anaitwa KakaKiiza eti anasema kaniangalia sana kaona nimepungua na nimechoka sana, mi namwangalia tuu.
afadhali mdogo wangu umeona tabasamu limeongezeka......raha ya mapezni si unajua tena? hasa kama wote mkiwa mateja, lol!
wahimize hao madogo wachangamke kuwatoa wake zao, inalipa aisee
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahahhahha full kurudi uform six leaver!ahahhahahhahah !shurti shingo inaangukia kwa pembeni!halu haluuuuu!
chezeya TEJA LA KINGONI!uuuuuuuwih mi staki!jamani shule zinafungwa lini ?nna njaa na kiwanja cha nje!hizi nyasi za hapa old traford nahisi nimezizoea kiasi sasa nataka niende anfield au emirates!ahahahhahahhah dada mkubwa mimi love yu saan bana!af nilikumiss kama nini!
 
usijali mlongo wangu, shule zinatafungwa soon, na kwa nnavyomjua shem wangu........aaaaahhhhhhh full machimbo.
yaani ukitoka huko wanadhani ndo unaenda kuanza form one......huko hakuna kupika, kufua, mastress mengine.....yaani ni full kuangaliana kwa macho.....hakuna kulala etiiiii maana unaona usingizini unam-miss mwenzio.... chezea uteja wewe, lol!
mimi pia miss u so machi mlongo wangu......ila nilianza kukumiss baada ya kufika home, lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…