Prince_mandela
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 167
- 117
Wakuu wa jamvi hili nahitaji maombi yenu je chuo gan nje ya afrika kinacho toa kozi tajwa hapo juu kama katika nchi za nje kama vile china na other country ningependa kujua gharama za ada na nchi nzur isiyo na vikwazo kwazo wa watu walio toka nje na mahitaji mengine !