Bachelor party

Bachelor party

Hapo ni sawa na kuletewa vyakula vya aina zote ndani ya siku moja , halafu mtu ategemee ukinai vyakula vyote baada ya hiyo siku.
 
hii ideology imewakaa sana wadada na upande wa wakaka ni Kwa wale wasiochepuka.....hatuchepuki coz tunatamani uchi...tunachepuka kukimbia kero majumbani,kukimbia wake wasiotaka kubadili sex styles even after ten yrs of marriage etc,wake wakorofi,waliojiachia miili mpaka wanaonekana kama wazee,wake wasio supportive katika maisha etc etc just to mention a few na sio tu kwamba tuna hamu na papuchi mpya
 
kuchepuka bwana ni kutafuta amani ya roho.. sio unarudi nyumbani umenuniwa bila kisa.. hupikiwi.. hufuliwi.. hupokewi.. huulizwi kitu yaani za mchana nzuri imetoka... hata ukipewa masters party utachepuka tu
 
Hehehe wanaochepuka hawajafanyiwa bachela pati


Kwa hiyo wanaochepuka ni kwamba huwa hawajaona papuchi nyingi? Mtu anaweza kuwa na msururu wa watu 70 na bado akachepuka nini 20 bwana....
 
sio suluhisho ila inapunguza effects, mambo ya kuchepuka kwenye honey moon nan anayataka!!!

Kwel wanaume mna matatizo, yaani hy yakuangilia tupu za wanawake ndio ndio zinakupunguzia kuchepuka??? heeee! nimeishiwa neno.
 
yapo mengi yanayofanya mwanaume achepuke ukiacha tamaa, mengine twasababisha sie wanawake so sidhani kama huo uchafu wa bachelor party yaweza ondoa tatizo.
 
Mkuu Viol hawa wanafanya nini!? 🙂🙂🙂



tWiw_iQPsfJfXFtp5kYLiJ45N46t1T  6CDfYThH2qyDV9xML1jVp7yQ==.gif
 
Last edited by a moderator:
Lol, mtoa mada, hivi je katika hio shereh muhusika akipeda dem mweupe mweny hips na huku mkewe hayupo hivo inakuaje?? Au kam hao niwanenguaji alafu alie mpata nimvivu anakuaje??? Mwisho kabisa naomba uelew kwamba wanaume wanaochepuka mara nyingi hua walisha pitia madem wengi Sana, na kuchepuka ni tamaa, akishao abakiona ni chake kinamkofu anaanza tama za nje na ndio mana unawakuta hata wanaume wengine wana michepuko mibaya(sura, shape) kuliko hata wake zao ndani bt hawalioni cz of Tamaa....Kama haridhiki binadam hata umfanye nini
 
hii ideology imewakaa sana wadada na upande wa wakaka ni Kwa wale wasiochepuka.....hatuchepuki coz tunatamani uchi...tunachepuka kukimbia kero majumbani,kukimbia wake wasiotaka kubadili sex styles even after ten yrs of marriage etc,wake wakorofi,waliojiachia miili mpaka wanaonekana kama wazee,wake wasio supportive katika maisha etc etc just to mention a few na sio tu kwamba tuna hamu na papuchi mpya

Umenena...ila hilo nahisi inabidi ukae na mwenza umuelezee ukweli
 
Bachelor party ni aina moja wapo ya ufuska na uchafu wa viwango vya juu!Utamaduni wa kimagharibi mwingine,kama kuchepuka hapo ndo atahamasika zaidi na zaidi!

huu ndo ukweli na km ndo mie nikijua umebachelika na ndoa hamna
hayaaa nendaga ukamtafte mwenzio muwe masters party
 
Dalili kubwa kwa mwanaume kuanza kufikiria kuwa na dalili za kuchepuka ni baada ya kuona mwanamke mzuri. Kwa hiyo hakuna mwanaume asiyependa kutembea na msichana au mwanamke mrembo. Na asilimia kubwa wanaume wengi huogopa kuoa wanawake warembo.

Sasa km Hawa warembo umewachezea Siku ya bachelor party. Nafikiri hamu ya aina hiyo ya kutamani vimwana warembo itakuwa imepungua, unless una matatizo yako Binafsi.
 
Ingekuwa mnatumia ubunifu huo kumjua mungu na kutenda matendo mema ingekuwa bora lakini ubunifu katika ufuska na uasherati! akitoka hapo anachukua contact zote za hao kazi ndo mbichi inaanza chezea wabongo weye.
 
ahaaa ata havihusiani ata kidogo mtazamo finyu sana huu. uchepukaji upo kwenye damu ni asili ya mtu ata ufanyeje....
 
nature ya mtu haipotei na jasiri haachi asili ...kuchepuka nowadays imekua kitu cha kawaida sana! mungu atusaidie tu yani!
 
huo ni uchafu atapata magonjwa hapo aingie kwa ndoa yake akiwa na miugonjwa yake ptuuuu kuna watu wachafu jaman khaaaa party nyingine za kidwanzi
 
Back
Top Bottom