Bachelor of banking and finance IFM

Bachelor of banking and finance IFM

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
649
Reaction score
90
Habari wakuu,ningependa kuijuia kiundani zaidi programme ambayo najiandaa kuikabili kwa miaka mitatu pale ifm yani banking and finance...kwa wajuzi wa mambo je inacover aspect zipi?? Ni kitu gani nifanye ili niweze kuimaster kwenye usomaji wake??? Na je vp IFM wenyew wana lecturers wazuri kwenye kozi hiyo....
Kwa additional informations mnaweza kunisaidia pia lifestyle ya pale chuoni, kuhusu hostel na ushauri mwingine wowote nitashukuru sana
#natanguliza shukrani
 
Kwanza hongera,kawaida 1year BBF na BACC wanasoma masomo yanayofanana kwa 1st semester na 2nd semester watatofautiana somo1 kuwa BACC watasoma Businescomm na BBF watasoma finance ila mengine mnasoma sawa.na BATA sasa inategemea akili ya mtu ndugu yangu.
Jipange,IFM watu wanakuja kutafuta degdree na sio kuchukua.
 
Najua unatamani kupata picha halisi lakini hizi ni hadithi km za walioenda kuona tembo (vipofu) kila mtu akashika sehemu yake na maelezo yakawa utofauti.
Labda nikushauri kwamba ukiwa chuo usiwe limbukeni, usiige marafiki wahaya ukaharibika. Usiwe kicheche maana sketi na pedo zao zinavuta kwa macho na karibia wote utahisi ni warembo. Mtegemee Mungu ktk yote, ibada kwa sana. Usiibie mitihani (kudesa)! Karibu kwenye ngazi nyingine.
 
tatzo ajiraaaa........... M nilikuwa napenda kusoma B.A PA tatzo n kaz ndio maana nimekmbilia ed then nitachange mbele ya safar
 
1)tafuta calculator..hiyo ndo mbinu muhim ya ku-surviv pale ifm... 2)ifm kuna mazingira magumu xo jiandae kuyakabili...3)usikose tutorial +lecture...hyo coz ni nzury &kaz co ngum kupata
 
Asante sana mkuu....nina uhakika na mimi ni mmoja kati ya wale wanaokuja kuitafuta na sio kuichukua as if niliiweka....
#shukran
 
Najua unatamani kupata picha halisi lakini hizi ni hadithi km za walioenda kuona tembo (vipofu) kila mtu akashika sehemu yake na maelezo yakawa utofauti.
Labda nikushauri kwamba ukiwa chuo usiwe limbukeni, usiige marafiki wahaya ukaharibika. Usiwe kicheche maana sketi na pedo zao zinavuta kwa macho na karibia wote utahisi ni warembo. Mtegemee Mungu ktk yote, ibada kwa sana. Usiibie mitihani (kudesa)! Karibu kwenye ngazi nyingine.

Hahahhah....shukran mkuu...mfano wako wa tembo huo umenifungua macho sasa....kuwa kwenye kusoma kila mtu ana potential yake na anakutana na ugumu wa peke yake...ila ni jukumu langu kukaza kweli kweli maana shughuli si ndogo....naamini mungu atajalia na hii ngazi nitaivuka vizuri
#ameen
 
tatzo ajiraaaa........... M nilikuwa napenda kusoma B.A PA tatzo n kaz ndio maana nimekmbilia ed then nitachange mbele ya safar

Mkuu hakuna anayeijua kesho....na kundi lote hili linalomaliza kila mwaka na wengi kulalamika ajira lakini amini nakwambia wapo watu wanapata ajira......na kama kozi inaruhusu kujiajiri basi uko mbeleni kitaeleweka tu...muhimu ni strategy zako mwenyewe
 
Nilimaanisha 'usiige marafiki WABAYA' na Siyo wahaya kama android ilivyochapia.

Hahha lol....subiri wenyewe waje hapa...natania tu...umesomeka sana mkuu ni typing error tu
 
1)tafuta calculator..hiyo ndo mbinu muhim ya ku-surviv pale ifm... 2)ifm kuna mazingira magumu xo jiandae kuyakabili...3)usikose tutorial +lecture...hyo coz ni nzury &kaz co ngum kupata

Ahsante kwa ushauri wako mzuri....ila ningependa unifafanulie hapo kwenye mazingira magumu hapo....niaje niajeeee??
 
jaribu kupitia hapa nimefafanua kidogohttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/507131-kwa-wale-mnaokuja-ifm.html
 
kwanza hongera,kawaida 1year bbf na bacc wanasoma masomo yanayofanana kwa 1st semester na 2nd semester watatofautiana somo1 kuwa bacc watasoma businescomm na bbf watasoma finance ila mengine mnasoma sawa.na bata sasa inategemea akili ya mtu ndugu yangu.
Jipange,ifm watu wanakuja kutafuta degdree na sio kuchukua.

kwa average ya 40% , hapo mnakwenda kuchukua degree
 
tatzo ajiraaaa........... M nilikuwa napenda kusoma B.A PA tatzo n kaz ndio maana nimekmbilia ed then nitachange mbele ya safar

kukosa kujiamini na maarifa utasoma hadi mapepe.so lazima uajiriwe
 
SIKU Ukiwa unaenda kuanza chuo pale IFM usisahau kubeba Mikanda Ya GUCCI, LOUIS VOUITON,VIATU AINA YA SUPRA,CAROLITE na JEANZ ZA KUBANA! Make sure unakuwa navyo hivyo ili uweze ku-cop na mazingira ya pale!
 
siku ukiwa unaenda kuanza chuo pale ifm usisahau kubeba mikanda ya gucci, louis vouiton,viatu aina ya supra,carolite na jeanz za kubana! Make sure unakuwa navyo hivyo ili uweze ku-cop na mazingira ya pale!

kweli ifm ni taasisi na sio chuo kikuu
 
Back
Top Bottom