Bachelor of Accountancy with IT

Le minho

Member
Jul 18, 2021
5
1
Habari kaka na dada,

Naomba kujuzwa kuhusu hii course ya Accountancy with IT ambayo inatolewa IAA na IFM vp kuhusu soko lake la ajira na je ipi bora Kati ya BA. In Accountancy na hyo BAIT.

Karibuni tujuzane.
 
Kwenye mfumo wetu wa Elimu kuna shida kubwa, nadhani bado tunafundisha watoto kumeza darasani na kutapika kwenye chumba cha mtihani.

Walimu lazima wawafundishe wanafunzi kuhusu kusoma na kupata umahiri wa kubuni fursa kuliko kufikiria ajira tu.

KWA TANZANIA YA SASA KUPATA AJIRA BAADA YA KUHITIMU NI BONUS TU. USIENDE KUSOMEA KITU FILANI KWA SABABU AJIRA, UTAISHIA KUPATA STRESS
 
mkuu nimejaribu kutembelea website ya IAA waelezo waliyoweka njisi nilivyoelewa ni kwamba, hapa hautakua software engineer au mtu wa system administrator au mtu wa networking. hii course ima base kwenye Account lakin wameongezea with IT kwa sababu wewe utafundishwa zile account packages amboazo watu wa BA hawana na pia, nimeona wanafundia sia web development.

Semester I

Business Mathematics
Business Law
Principles of Accounting
Principles of Computing Science
Introduction to Business Information System
Development studies

Semester II

Financial Accounting
Web development
Entrepreneurship and Innovation
Quantitative Methods for Business Decisions
Operating Systems
Business Communication
Practical Fieldwork Report

Semester III

Accounting Information Systems
Principles of Auditing
Principles of Economics
Database Principles
Financial Management

Semester IV

Financial Reporting
Cost Accounting
Public Sector Reporting
Research Methodology
Business Taxation
Practical Training Report

Semester V

Advanced Financial Reporting
Management Accounting
Auditing and Assurance
IS Security and Risk Management
Strategic Business Management
Information Systems Management

Semester VI

Corporate Reporting
Systems Audit & Forensic
Performance Management
Advanced Business Taxation
Forensic Accounting and Auditing
International Finance

What you'll experience

On this course, you'll be able to:

Learn accounting skills and business principles – along with database theory and applications, computer science concepts and web programming.
Develop the problem-solving, critical thinking and ethical reasoning skills that need to applied in the business environment.
Integrate relevant accounting and information technology skills.
Put information close to accountants
Improve the capacity of accounting information exchange; organize, store and retrieve information
Develop accounting database for easy access and database decision making.

Careers and opportunities

Our graduates will work in roles including:

Assistant accountant
Management accountant
Tax accountant
Cost accountant
Financial analysts
Auditor
Excel Accountant Expert
Tally Specialist
Quick Book Accounting Specualist

------------------

kwa ujumla hii course in nzuri sana ukimaliza na ukiongeza na CPA kujipa nguvu kwenye vete vyako
 
Thanks broo
 
Thanks a lot.. 🙏
 
Sawa boss uliyesema yote ni sahihi. Lakini ngoja nkulize swali NBAA wanatambua course hi ya BAIT? Ningeomba ujiulize kukuwezesha kua professional accountant ( CPA holder) Kama ni lengo lako, lakini Kama ni kuwa muhasbu wa kawaida fresh tyu piga iyo course
 
CPA hawaitambui BAIT?
 
CPA hawaitambui BAIT?
Nimekupatia challenge uangalie Kama Bodi wamekwisha tambua hii kozi ama la,then upate majibu ya kuridhisha. Kujiba swali lako straight ni changamoto kidogo wew n msomi now Anza kufuatilia taarifa mbalimbali kuhusu professional qualifications za bodi mbalimbali na criteria zake then utuletee jibu wew Kama wako nayo au laa? Naomba kuwasilisha kwako bosi
 
Acha kutisha watu 😂😂

Kozi hii ina kila sifa kutambulika na nbaa kumruhusu mhitimu kufanya mitihani ya cpa kama kila mhitimu wengine waliomaliza degree za accounting.

wanasoma kila core aubjects za degree ya accounting na tayari hapa ishakizi vigezo

Semester I

Principles of Accounting

Semester II

Financial Accounting

Semester III

Accounting Information Systems
Principles of Auditing
Financial Management

Semester IV

Financial Reporting
Cost Accounting
Public Sector Reporting
Business Taxation

Semester V

Advanced Financial Reporting
Management Accounting
Auditing and Assurance

Semester VI

Corporate Reporting
Performance Management
Advanced Business Taxation
Forensic Accounting and Auditing
International Finance
 
Habari kaka na dada,

Naomba kujuzwa kuhusu hii course ya Accountancy with IT ambayo inatolewa IAA na IFM vp kuhusu soko lake la ajira na je ipi bora Kati ya BA. In Accountancy na hyo BAIT.

Karibuni tujuzane.
Ni kozi nzuri mkuu.

Uhasibu kwa sasa upo sambamba mno na IT, kuanzia quick books, fresh books, n.k ukiachana na tally na excel ambazo kwa sasa ni za kawaida mno.

Baada ya kuhitimu utaweza kuwa muhasibu au ict officer.
 
Acha kutisha watu 😂😂

Kozi hii ina kila sifa kutambulika na nbaa kumruhusu mhitimu kufanya mitihani ya cpa kama kila mhitimu wengine waliomaliza degree za accounting.

wanasoma kila core aubjects za degree ya accounting na tayari hapa ishakizi vigezo

Semester I

Principles of Accounting

Semester II

Financial Accounting

Semester III

Accounting Information Systems
Principles of Auditing
Financial Management

Semester IV

Financial Reporting
Cost Accounting
Public Sector Reporting
Business Taxation

Semester V

Advanced Financial Reporting
Management Accounting
Auditing and Assurance

Semester VI

Corporate Reporting
Performance Management
Advanced Business Taxation
Forensic Accounting and Auditing
International Finance
🤣 Unaeza nsaidia labda. Ni masomo gani ya account Apo yameondolewa yakapachikwa ya IT kijana Kisha nenda pitia intermediate level kwenye CPA utakuta ni masomo gani yame miss ambayo ungepaswa kusoma wakati unachukua degree yako ya kwanza
 
Sawa boss uliyesema yote ni sahihi. Lakini ngoja nkulize swali NBAA wanatambua course hi ya BAIT? Ningeomba ujiulize kukuwezesha kua professional accountant ( CPA holder) Kama ni lengo lako, lakini Kama ni kuwa muhasbu wa kawaida fresh tyu piga iyo course
Sidhani kama NBAA hawataitambua milele, NBAA ni board ndani ya Tanzania itakuwa ajabu kama hawatatambua kozi ambayo imeangalia mahitaji halisi ya soko kwa sasa
 
🤝 Kwa kua umeelewa kidogo na ukatambua ivyo. Wacha tuone sasa NBAA watakofyofanyia mchakto course hii na kuweza kutambulika rasmi kwao
 
Sidhani kama NBAA hawataitambua milele, NBAA ni board ndani ya Tanzania itakuwa ajabu kama hawatatambua kozi ambayo imeangalia mahitaji halisi ya soko kwa sasa

NBA mitihani ya Midsession CPA gharama ni 500k intermediate per mtihani kwanini Bodi inakuwa inatoza gharana kubwa hivyo hasa kwa fresh graduates mbona inakuwa ngumu ku afford hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom