Utajua ukifika, usiogopeTheme ya hiyo 'bachela pati' ni nini?
Acha kutafuta vita shosti najua silaha za kutosha huna tehWawepo na senior bachelors please.....
Teh ntakosaje silaha mie mwenyewe bomuAcha kutafuta vita shosti najua silaha za kutosha huna teh
Upo juu bibie, Mie pia ntakuwepo, nipo upande wa nyama choma, jitahid tuonaneNjiro sehemu gani?
Usikonde nitakukuta huko nakuja na msukuma wanguUpo juu bibie, Mie pia ntakuwepo, nipo upande wa nyama choma, jitahid tuonane
Msukuma wa kazi gani tena wewe, unatakiwa uje wewe Kama weweUsikonde nitakukuta huko nakuja na msukuma wangu
Nimejikuta nacheka gafla...Msukuma wa kazi gani tena wewe, unatakiwa uje wewe Kama wewe
Wewe si ndo umetoa kadi za mwaliko eroo...Unasema tena upo single utakuja...Ama utakuwepo?Mie pia niko single ntakuja