Kimey JF-Expert Member Joined Mar 25, 2009 Posts 4,117 Reaction score 833 Mar 24, 2011 #41 Heri ya kuzaliwa kiongozi , sasa Bacha tupe cordinates wapi tuna smashi zemu botlozi?
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,970 Mar 24, 2011 #42 Happy bday Bacha,nakutakia maisha mema yenye upendo na amani
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Mar 24, 2011 Thread starter #43 Kimey said: Heri ya kuzaliwa kiongozi , sasa Bacha tupe cordinates wapi tuna smashi zemu botlozi? Click to expand... Bacha sio muaandaji yeye ni mtoto. Kwa mawasiliano zaidi ya logistics wasiliana na mimi
Kimey said: Heri ya kuzaliwa kiongozi , sasa Bacha tupe cordinates wapi tuna smashi zemu botlozi? Click to expand... Bacha sio muaandaji yeye ni mtoto. Kwa mawasiliano zaidi ya logistics wasiliana na mimi
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Mar 24, 2011 #44 Marytina said: Kwa hiyo una mpango gani kuwa na huo uzao mkubwa na mrefu?au hutaki jina litanuke kwa kasi? Click to expand... du, marytina huo mpango wa uzao mkubwa na mrefu, NO, siwezi kabisa hilo!
Marytina said: Kwa hiyo una mpango gani kuwa na huo uzao mkubwa na mrefu?au hutaki jina litanuke kwa kasi? Click to expand... du, marytina huo mpango wa uzao mkubwa na mrefu, NO, siwezi kabisa hilo!
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,231 Mar 24, 2011 #45 Mshenga wangu Happy Birthday,sasa unaonaje tukimualika yule mtoto anayependa kutukonyeza ili siku iende vizuri?
Mshenga wangu Happy Birthday,sasa unaonaje tukimualika yule mtoto anayependa kutukonyeza ili siku iende vizuri?
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Mar 24, 2011 #46 MwanajamiiOne said: Bacha...........Happy Birthday ndugu mpendwa. Avatar yako .....duh!! Click to expand... Asante MJ1, Hapo nilikuwa kule kwetu shitindi, nachunga ng'ombe, lazima uwe na mbwa wa kukusaidia!
MwanajamiiOne said: Bacha...........Happy Birthday ndugu mpendwa. Avatar yako .....duh!! Click to expand... Asante MJ1, Hapo nilikuwa kule kwetu shitindi, nachunga ng'ombe, lazima uwe na mbwa wa kukusaidia!
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Mar 24, 2011 #47 Sangara said: happy bday mkuu. uzidi kukua,kama hujafunga ndoa ufunge,uzae,uzeeke na mwisho ukufe. Click to expand... asante sangara, acha nizidi kukua mtu wangu ili, niendelee kuwatafuna sangara bana!!!!
Sangara said: happy bday mkuu. uzidi kukua,kama hujafunga ndoa ufunge,uzae,uzeeke na mwisho ukufe. Click to expand... asante sangara, acha nizidi kukua mtu wangu ili, niendelee kuwatafuna sangara bana!!!!
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Mar 24, 2011 #48 Lily Flower said: Kumbe mwezi wa 3 tumezaliwa wengi. HAPPY BIRTHDAY BACHA. Click to expand... Thanks Lily, mwezi wa 3 ni wa neema! hongera na wewe!
Lily Flower said: Kumbe mwezi wa 3 tumezaliwa wengi. HAPPY BIRTHDAY BACHA. Click to expand... Thanks Lily, mwezi wa 3 ni wa neema! hongera na wewe!
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Mar 24, 2011 #49 Susy said: Happy birthday!! Click to expand... asante susy, ngoja tuendelee kuyaona ya dunia!
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Mar 24, 2011 #50 Askofu said: Hongera kwa kuzaliwa katika kipindi hiki cha kwaresma, Ukue katika kimo na busara kwa kuishika imani Mungu mwenye heri akuongezee uhai Click to expand... asante Baba Askofu, Uzidi kuniombea kwa mungu!
Askofu said: Hongera kwa kuzaliwa katika kipindi hiki cha kwaresma, Ukue katika kimo na busara kwa kuishika imani Mungu mwenye heri akuongezee uhai Click to expand... asante Baba Askofu, Uzidi kuniombea kwa mungu!
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Mar 24, 2011 #51 Kimey said: Heri ya kuzaliwa kiongozi , sasa Bacha tupe cordinates wapi tuna smashi zemu botlozi? Click to expand... Asante kiongozi wangu, Ze mubotlozi leo haiko mkinga, nipo kwa safari, njiani kwenda Loliondo! ngoja nikirudi nitafanya logistics tu!
Kimey said: Heri ya kuzaliwa kiongozi , sasa Bacha tupe cordinates wapi tuna smashi zemu botlozi? Click to expand... Asante kiongozi wangu, Ze mubotlozi leo haiko mkinga, nipo kwa safari, njiani kwenda Loliondo! ngoja nikirudi nitafanya logistics tu!
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Mar 24, 2011 #52 Gaga said: Happy bday Bacha,nakutakia maisha mema yenye upendo na amani Click to expand... Asante sana Gaga wangu, ubarikiwe na wewe!
Gaga said: Happy bday Bacha,nakutakia maisha mema yenye upendo na amani Click to expand... Asante sana Gaga wangu, ubarikiwe na wewe!
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Mar 24, 2011 #53 Dena Amsi said: Bacha sio muaandaji yeye ni mtoto. Kwa mawasiliano zaidi ya logistics wasiliana na mimi Click to expand... Nakuaminia, ndo maana ujuzi huwa hauzeeki, hebu endelea na hizo logistics!
Dena Amsi said: Bacha sio muaandaji yeye ni mtoto. Kwa mawasiliano zaidi ya logistics wasiliana na mimi Click to expand... Nakuaminia, ndo maana ujuzi huwa hauzeeki, hebu endelea na hizo logistics!
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Mar 24, 2011 #54 Happy birthday mkuu bacha...sijui nimechelewa party imeisha? eti DA?
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,310 Mar 24, 2011 #55 Hapi besdeyi Bacha......unavaa pampaz size ngapi nizi PM?
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Mar 24, 2011 Thread starter #56 Kaizer said: Happy birthday mkuu bacha...sijui nimechelewa party imeisha? eti DA? Click to expand... Hujachelewa kabisa ndo kwaanza maandalizi yanaendelea. Karibu sana!!!
Kaizer said: Happy birthday mkuu bacha...sijui nimechelewa party imeisha? eti DA? Click to expand... Hujachelewa kabisa ndo kwaanza maandalizi yanaendelea. Karibu sana!!!
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Mar 24, 2011 Thread starter #57 Masikini_Jeuri said: Hapi besdeyi Bacha......unavaa pampaz size ngapi nizi PM? Click to expand... Ha ha ha ha ha una PM kwangu bana
Masikini_Jeuri said: Hapi besdeyi Bacha......unavaa pampaz size ngapi nizi PM? Click to expand... Ha ha ha ha ha una PM kwangu bana
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Mar 24, 2011 #58 Dena Amsi said: Hujachelewa kabisa ndo kwaanza maandalizi yanaendelea. Karibu sana!!! Click to expand... asante ngoja nipande tuku tuku hapa fasta bacha ni mlaji wa nyama gani tena nitoke nayo kabisa huku kijijini? manake nasikia kazaliwa na meno kabisa
Dena Amsi said: Hujachelewa kabisa ndo kwaanza maandalizi yanaendelea. Karibu sana!!! Click to expand... asante ngoja nipande tuku tuku hapa fasta bacha ni mlaji wa nyama gani tena nitoke nayo kabisa huku kijijini? manake nasikia kazaliwa na meno kabisa
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Mar 24, 2011 Thread starter #59 Kaizer said: asante ngoja nipande tuku tuku hapa fasta bacha ni mlaji wa nyama gani tena nitoke nayo kabisa huku kijijini? manake nasikia kazaliwa na meno kabisa Click to expand... Poki ndo hiyo nyama anayopenda
Kaizer said: asante ngoja nipande tuku tuku hapa fasta bacha ni mlaji wa nyama gani tena nitoke nayo kabisa huku kijijini? manake nasikia kazaliwa na meno kabisa Click to expand... Poki ndo hiyo nyama anayopenda
C chetuntu R I P Joined Jan 10, 2011 Posts 949 Reaction score 112 Mar 24, 2011 #60 HAPPY BIRTHDAY BACHA, MUNGU AKUJALIE AFYA NJEMA. Happy birthday Bacha, Mungu akujalie afya njemaaa! Attachments Mushroom_home_cake[2].JPG 54.9 KB · Views: 37